Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Habari wapendwa na mimi nashida iyo kama mabaka nimetumia dawa hadi nimechoka naombeni msaada View attachment 1691672
Naombeni msaa

Hello wakuu natumaini mko poa nimekuja hapa mbele yenu kuomba ushauri mawazo na vingine vingi mtakavyoona vinanifaa
Nianze na kumbukizi ya namna ugonjwa ulivyonipata yaani dalili, Miezi minne (04) nyuma nilikua niko na mahusiano na dentii mmoja hivii ambaye naamini ndie aliyenipa huu ugonjwa, Ilianza muwasho wa aina yake katika korodani pindi nilipokua nikioga basi nilidharau hii hali na kuipuuza kabisaa lakini kadri siku zilivyozidi kwenda nilianza kutokwa vipele ambavyo kwa hakika vilinishangaza mnoo maana sikuwahi patwa na ugonjwa kama huu hapo awali, Hali hiyo ilinichukua mpaka Famas na majibu yalitoka kua nina zinaa kwakua tayari nmeisha athirika ilinipata haraka sana kuanza tiba ambayo niliambiwa itagharimu 58k ikiwa ni sindano 4 na vidonge vyake. Ajabu ni kua mpaka sasa yapata mwezi umepita tiba nimeimaliza kikamilifu lakini bado ninao ugonjwa na cha kutisha zaidi kadri siku zinavyozidi ugonjwa huu unazidi kushambulia UUME NA KORODANI PEKEE inatishaa mno ndugu zangu naombeni msaada katika hili, Ahsanteen na majukumu mema..
Pole sana mkuu
 
Kama unatatizo la Fangasi za Muda mrefu au Muda mfupi kwenye Nyeti zako (Corodani, Mapaja, na Jogoo) basi dawa yako ni hii

Kanunue Vidonge vya Vitamin B Complex (Vit. BCO) then kwa siku 3 za mwanzo kunywa Viwili asubuhi na Viwili jioni (2×2).
Baadae kwa Muda wa Siku 14 kunya Vidonge 2 kwa siku.
Kama hajijapona endelea wiki moja zaidi, kama zimepona na kuisha basi sitisha kwa siku 30 ikisha kunywa tena siku 7 kwa Vidonge 2 kwa siku.
Fanya hilo zoezi kwa Muda wa wastani wa miezi 6 utakuja kunishukuru.

ANGALIZO:
  1. Hii dawa haijatengenezwa kwa ajili ya Kutibu Fangasi, lakini matokeo ya Wanywaji wake yameonesha inatibu Fangasi kwa ufanisi Mkubwa zaidi kuliko zile dawa zenyewe za Fangasi.
  2. Epuka kuvaa Boksa/Chupi za kubana hasa kama unaishi maeneo yenye Joto kama Dar au Zanzibar.
  3. Usafi wa kila siku unahitajika.
Usisahau kuleta Mrejesho hapa.
Nimerudi kukushukuru mkuu, nashukuru sana kwa suggestion yako tatizo la fangazi limeisha kabisa kwangu, na ata vidalili vikianza natumiaga tena ata siku tatu haziishi inapotea. Ukizingatia vigonge vyenyewe ni very cheap. Shukran san mkuu
 
Jaman ndug zangu naomba mnisaidie dawa ya mba kwenye ngozi zimetapakaa mwili mzima tatizo ili lilianza mwaka 2015 kwenye mapaja lakin saiv zimetapakaa mwil mzima me mara ya kwanza nilijua naanza kuwa mweupe nilkuwa sijui kama ni mba naomben mnisaidie dawa jaman nimetumia kila mafuta sabuni zote lakn hakuna matokeo yoyote yale mba zangu zina mwonekano kama nyeupe
 
Kama alivyosema Smarter hapo juu ni sahihi. kwanza ukisha maliza kuoga hakikisha unajifuta na kukauka kabisa, hatua nyingine, nyoa mavuzi yote ubaki kipara hasa sehemu za korodani.

Wakati wa kunawa tumia shampoo zilizoandikwa Antidundruf na medicated soap km protex n.k. Ukimaliza jisafishe na dettol liquid (ile ya chupa ya plastic) tumia pamba kujipaka dettol sehemu zilizoathirika.

Pia nakushauri ununue co-trimazole powder uwe unatumia wakati ukienda kazini jinyunyizie hasa ktka corners na mapaja.

Unaweza tumia zote dettol kupaka maana itakauka mara moja kisha jinyunyizie hiyo powder. natumai itakusaidia
 
Mkuu detol inavyowasha hivyo especially ikiwa haija dilutiwa si atahisi kijikojolea😀 au kwenye hiyo ya chupa ya plastic detol haiumi?
 
hello, za jumapili na za ibaada kwa ujumla.
naombe nieleze kwa kifupi dawa iliyonisaidiakupona fagasi baada ya kuteseka nazo kwa zaidi ya miezi sita na kutumia dawa nyingi bila mafanikio...
pamoja na kwamba dawa hii inatibu mmba na fagasi zote ila mimi nijikite kwenye sehemu za siri za mwanaume kwa maana ya makorodani na maumbile yake...
habari nzuri ni kwamba dawa hii inagharim haizidi 1500tsh ya kitanzania,
iko hivi, lotion ya vestline alovera 70g ambayo inauzwa sh. 500, sijajua eneo ulilopo.. halafu chukua dawa ya septline vidonge viwili vipondeponde au visage halafu changanya unga wa hiyo dawa kwenye lotion koroga hadi ujilidhishe kuwa imechanganyikana vizuri, halafu...hapo dawa yako tayari imekamilika unaweza kuwa unapaka mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jioni, na utapata matokeo
nb, pia unaweza tumia mafuta ya mawese ukawa unapaka sehemu iliyoathirika nayo pia utapata matokeo..
kwa mimi nilitumia vyoyte viwili yaani mafuta ya mawese na huo mchanganyiko wa lotion, ingawa mawese na lotion sikuchanganya nilikuwa napaka tofauti kwa mda mmoja.....
Nimekuja kukushukuru mkuu kwa ushauli wako nilifanya kama ulivo elekeza nashukuru nimepona nilikua nasumbuliwa na fangasi sehemu za siri tangu 2015 nikitumia dawa zinapona kwa nda tu badae zinarud mpaka mapaja yalikua yamebadilika rangi yalikua meusi tii lakini tangu nimetumia huo mchanganyiko wa mafuta na vidonge tatizo limeisha hakuna muwasho wowote ubalikiwe sana
 
hello, za jumapili na za ibaada kwa ujumla.
naombe nieleze kwa kifupi dawa iliyonisaidiakupona fagasi baada ya kuteseka nazo kwa zaidi ya miezi sita na kutumia dawa nyingi bila mafanikio...
pamoja na kwamba dawa hii inatibu mmba na fagasi zote ila mimi nijikite kwenye sehemu za siri za mwanaume kwa maana ya makorodani na maumbile yake...
habari nzuri ni kwamba dawa hii inagharim haizidi 1500tsh ya kitanzania,
iko hivi, lotion ya vestline alovera 70g ambayo inauzwa sh. 500, sijajua eneo ulilopo.. halafu chukua dawa ya septline vidonge viwili vipondeponde au visage halafu changanya unga wa hiyo dawa kwenye lotion koroga hadi ujilidhishe kuwa imechanganyikana vizuri, halafu...hapo dawa yako tayari imekamilika unaweza kuwa unapaka mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jioni, na utapata matokeo
nb, pia unaweza tumia mafuta ya mawese ukawa unapaka sehemu iliyoathirika nayo pia utapata matokeo..
kwa mimi nilitumia vyoyte viwili yaani mafuta ya mawese na huo mchanganyiko wa lotion, ingawa mawese na lotion sikuchanganya nilikuwa napaka tofauti kwa mda mmoja.....
Hio dawa unamaanisha seprini?
 
GOOD DAY ALL,

Habari ya week end members. Ninaomba kujuzwa dawa na matibabu ya tatizo la fungus (any kind of fungus) au kama kuna specialist wa hili eneo mnijulishe.

Binafsi ninatatizo la fungus ambao nikitumia dawa wanapotea wote na it takes about a month or two tatizo linajirudia. Nimetumia dawa nyingi na mara nyingi tu.

Msaada jamani.
Ndugu Hazole
Kwanza nipende kukutoa wasiwasi kwamba dawa za fungus ambazo umekwisha kutumia ni nzuri na zinafaa kuliondoa tatizo lako. Ambacho nahisi ni chanzo cha kujirudia kwa ugonjwa huu ni kwa sababu ya kuanza kupotea kwa vipele vya fungus baada ya kutumia dawa kwa mda tajwa hakumaanishi kwamba tayari vimelea vya fungus vimeharibiwa vyote , hivyo nachokushauri usiache kutumia dawa hizo unazoweza kuzipata hata kama unaona kabisa kama umepona. Endelea zaidi kutumia dawa kwa mwezi mmoja au miwili zaidi.
 
Dawa ni sahihi nahisi hutibu mavazi fua mavazi kwa kutumia jik ili kuuwa fungs
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom