Natafuta dawa ya kusaidia sperm motility

Habari wana JF.

Natafuta dawa ya kusaidia sperm motility au mwenye kufaham lishe nzuri ya kusaidia sperm motility naomba anisaidie.

Asante.
Sasa mkuu kwani huko uliko pimia si ndio unatakiwa wakuandikie dawa?ushauri wangu tumia dawa, za kizungu, sio mbaya wakati huo ukiwa unatumia na tiba mbadala kama utapenda, kwani kwenye tiba mbadala upigaji ni mwingi sana na gharama zake ni kubwa sana, na ni kubahatisha tu
 
Soma hiki kitabu kinaitwa-Miche,matunda na mboga ni dawa
Unajitibu mwenyewe kwa kutumia matunda,Miche nk kila ugonjwa upo na kila dawa ipo,hakuna ya kiwandani.
Hata kwa wale wenye matatizo ya nguvu za kiume,uume mdogo,uke kutanuka nk.
 
Habari wana JF.

Natafuta dawa ya kusaidia sperm motility au mwenye kufaham lishe nzuri ya kusaidia sperm motility naomba anisaidie.

Asante.
Tiba yake ni tofaut tofaut kulingana na kisababishi cha iyo shida

Ugonjwa , excessive punyeto, kuoga maji yamoto, sigara, trauma n.k

Kip kisababishi tuanzie hapo
 
Mambo zenu wana Jf. Nina shida ya low sperm motility cjaweza mpa mwanamke yyte ujauzito, naomba kujuzwa dawa za kutibu sperm motility. Motility yangu ni ndogo naombeni msaada.

Asante
Mkuu hao waliokujuza una hiyo Low sperm Motility walishindwa kukupatia Dawa?

Pole sana kwa hiyo Changamoto.
 
Back
Top Bottom