Recent content by Chocolate

  1. Chocolate

    JamiiForums Tanzania Pata generator kwa bei poa

    UPDATE Sasa tunayo, Boss 6.5kv. Inatosha kwa matumizi ya nyumbani na ofisi ya kawaida. Inaweza kusukuma fridge,pasi,taa za ndani na nje. Pia inaweza kusukuma, Ac ya HP 1.5 mpaka 2hp. Computer zisizo pungua 4,fen na photocopy. Ina warrant ya mwaka 1. Inaweza kutumia mafuta 1lt kwa masaa 2...
  2. Chocolate

    JamiiForums Tanzania Pata generator kwa bei poa

    Tumekwisha karibia tunasubiri ujibu maswali kwanza ndiyo tuje. Mie nataka kwa ajili ya matumizi ya nyumbani lakini sitaki inayopiga makelele je nitapata?
  3. Chocolate

    JamiiForums Tanzania Gari namba T 820 CNA, limepinduka na kusababisha vifo

    Kwa taarifa nilizopata ni kweli ndiyo ajali hii imemuua yeye na mwenzake
  4. Chocolate

    JamiiForums Tanzania Jamani mmemuona Jide

  5. Chocolate

    JamiiForums Tanzania Children toy....

    Mi mwenyewe tu zimenitisha
  6. Chocolate

    JamiiForums Tanzania Fundisho gani Kuvunjika kwa ndoa ya Vicky Kamata?

    Fundisho..... hata mwanaume akosee vipi atakayelaumiwa ni mwanamke
  7. Chocolate

    JamiiForums Tanzania Jamani ndugu zangu wa Sumbawanga Rukwa,tusalimiane!

    Chete!
  8. Chocolate

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Tambazi ndiyo ugongwa gani na unafananaje?
  9. Chocolate

    JamiiForums Tanzania Kweli sinabudi kuwaheshimu WANAWAKE, mnisamehe kama nimewahi kuwakosea heshima

    Mungu akubariki kwa kulitambua hili libarikiwe pia na tumbo lililikuzaa!
  10. Chocolate

    JamiiForums Tanzania Wakali wa umombo JF...

    Heee.....! Nimetoka kapa!
  11. Chocolate

    JamiiForums Tanzania Fanya Setting hizi kujua aliyekupigia Wakati umezima simu yako(Voda na Airtel tu)

    Nimejaribu zaidi ya mara kumi inaniambia "unexpected error from network"
  12. Chocolate

    JamiiForums Tanzania Nataka meno yangu yang'ae, msaada

    Mfano huu hapa
  13. Chocolate

    JamiiForums Tanzania Nataka meno yangu yang'ae, msaada

    Yasugue kwa baking soda
  14. Chocolate

    JamiiForums Tanzania Tunafanya Fumigation

    Toa jibu hatujaelewa tano ndio nini?
  15. Chocolate

    JamiiForums Tanzania Hizi text za kidini za kufowardiana...!!!

    Kwakweli zinakera sana na kumalizia chaji tu
Back
Top Bottom