Recent content by Chizoba

  1. C

    JamiiForums Tanzania Vidonda vya mdomo mara kwa mara husababishwa na nini?

    Nunua vidonge vya vitamin C uwe unamung'unya. Baada ya siku mbili tu vidonda vitapotea vyote
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini mafundi mnajenga vyoo vya hivi?

    Watu hamjawahi kusafiri kumbe!
  3. C

    JamiiForums Tanzania DAWASA mna shida gani - maji hayatoki Tegeta siku ya 5

    Hivi kuna shida gani Dawasa? Maji hayatoki Tegeta siku ya tano sasa na hamtoi taarifa yoyote wala hamshughulikii tatizo. Mkipigiwa simu mnasema mnashughulikia lakini siku zinapita tu maji hayatoki. Nini shida?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata ngao ya kidonge?

    Nimeumwa sana na mbu ndo nikaukumbuka uzi
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata ngao ya kidonge?

    Hata mimi naitafuta. Inapatikana wapi?
  6. C

    JamiiForums Tanzania NMB acheni uzembe, mnachefua sana

    Mie nimetwa ZUENA
  7. C

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Lakini umeshajiuliza kuhusu life span yao na yetu? Manake sio tu kusema mtu yuko fiti lakini hatoboi zaidi ya miaka 60 wakati hao 'waoga' wanadunda hadi miaka 100 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    JamiiForums Tanzania EQUITY Bank Mwenge huduma zimewashinda

    Hivi kweli bank nzima inakuwaje na teller mmoja siku kama ya leo jumamosi??? Mnadhani hatuna shuguli za kufanya?? Foleni hadi nje.. Shame on you
  9. C

    JamiiForums Tanzania Lucy Komba ajifungua

    Mzungu wa ile ndoa ya mwanzo sio huyu.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ufasaha upi unaouzungumzia? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. C

    JamiiForums Tanzania Makato tunaponunua LUKU

    Mambozz, Naomba kuuliza swali la msingi. Hv tunaponunua LUKU kwa mitandao ya simu au kwa MaxMalipo tunakatwa kiasi gani au asilimia ngapi ya kulipia huduma hiyo? Maana nimegundua nikiwa na salio taslimu na nikataka kununua umeme kwa pesa yote ya salio naambiwa salio halitoshi. Halikadhalika...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

    Pole zombi, lazima utakuwa mmoja wao .. Acheni tabia zenu mbaya
  13. C

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

    Pole dada.. Hao ndio wanaume wa kiafrica
  14. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ITV tofauti na taarifa ya habari, wana nini kingine cha ziada?

    Kipindi cha Usafiri wako kila alhamis 19:00hrs
  15. C

    JamiiForums Tanzania Matatzo ya hedhi

    Hashiki mimba kwa sababu mayai yake yanapevuka akiwa hedhini. Wala hana tatizo, ila ujue tu kuhesabu siku zake. Kuna topic ilishaletwa humu kitambo ikielezea hao watu wenye mzunguko mfupi
Back
Top Bottom