Matatzo ya hedhi

Kabilimya

Member
May 25, 2017
59
95
Mke wangu hashiki mimba pia kwa mwezi anaingia mp mara 2. naombeni msaada wa tatizo langu.
 
Gide MK

JF-Expert Member
Oct 21, 2013
7,103
2,000
Inawezekana pia tatizo likawa kwako usione mshedede unasimama ukajiona kidume,nendeni hospital wote
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,485
2,000
Mke wangu hashiki mimba pia kwa mwezi anaingia mp mara 2. naombeni msaada wa tatizo langu.
Nitafute mimi nikupe dawa mke wako apate kushika mimba.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Diplomatic Imunnity

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,183
1,250
Nitafute mimi nikupe dawa mke wako apate kushika mimba.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Huwa simuelewagi mzizi mkavu mara nyingi naposoma andiko lako unandika kama dawa zote za magonjwa unayo. Unasema utampa dawa mke wake ashike mimba je kama mwanaume ni mgumba je hizo dawa utakazompa zitasaidia nn au zitakuwa msaada gani kwa mume mgumba
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,485
2,000
Huwa simuelewagi mzizi mkavu mara nyingi naposoma andiko lako unandika kama dawa zote za magonjwa unayo. Unasema utampa dawa mke wake ashike mimba je kama mwanaume ni mgumba je hizo dawa utakazompa zitasaidia nn au zitakuwa msaada gani kwa mume mgumba
Mkuu mimi huwa simtibu mtu mpaka aende kupima Hospitali apate uhakika anayo hayo maradhi ndio hapo mimi huwa ninatoa dawa zangu simtibu mtu kwa kubahatisha. Ninahakikisha amekwenda kupima Hospitali na anacho umwa ninajuwa ni nini ndio hapo ninapo anza kumtibia mgonjwa wangu.
 
Chizoba

Member
Nov 20, 2013
46
125
Hashiki mimba kwa sababu mayai yake yanapevuka akiwa hedhini. Wala hana tatizo, ila ujue tu kuhesabu siku zake. Kuna topic ilishaletwa humu kitambo ikielezea hao watu wenye mzunguko mfupi
 
mkorea

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
2,132
2,000
Mke hashik mimba kaka chapa kaz ongeza juhud mtoto apatkan kizembe...
Unaponiumiza akil et "unaomba msaada kwa tatzo lako" yan kutoka kwa mkeo unaona tatzo ulibebe wew noma sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom