Recent content by chivala

  1. chivala

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ujasiri wa rais UKRAINE Volodmyr Zelenskyi na watu WAUKRAINE, ni wakiwango cha lami, hakika WAUKRENIAN ni CHUI mnyama sio CHUI wa kuchongwa!
  2. chivala

    JamiiForums Tanzania Huu 'mzuka' mpya wa Ukraine unasababisha Mrusi apoteze battalion moja kila siku

    Kinachowafanya warusi watoke nduki na kuacha madubwashi yao nyuma ni baada ya waukreni kutumia vionjo mbalimbali va silaha toka nchi za magharibi na Marekani.
  3. chivala

    JamiiForums Tanzania Baridi la Makete

    Picha ya baridi ya maker hii hapa
  4. chivala

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Walichopoteza wa Rusi tangia vita vianze
  5. chivala

    JamiiForums Tanzania Je, Wachagga wanaongea lugha moja?

    Nimewakuta wachaga wawili wakiongea Kiswahili, nilivowauliza kwanini nyie wote kabila moja mbona hamuongei kichaga? Wakanijibu kuwa luga zao za kichaga zintafautiana
  6. chivala

    JamiiForums Tanzania KWA HAYA YANAYO ENDELEA NAPENDEKEZA MAREKEBISHO YA SHERIA NA ITAMKWE WAZI KUWA"SPIKA ATATOKA NJE YA MFUMO WA CHAMA"

    Si Mgogo tu, kaombaomba msamaha kulala kalala ikibidi tena, ataombaomba
  7. chivala

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu, Ujenzi wa SGR yetu kuja kukamilika nadhani utachukua hadi miaka 20

    Sawa na: kama mikate hamna, si keki zipo!
  8. chivala

    JamiiForums Tanzania Hekima inaelekeza Jaji Mkuu kujiuzulu

    Tuonyeshe ujinga aliouandika uko wapI? Lambda nikama tu, KABILA fulani kenya linatamaduni ya wanaume kutembea uchi, ila wakiona mwanaume kavaa nguo wanamwita MJINGA!
  9. chivala

    JamiiForums Tanzania Profile picture yako ina maana gani?

    Mimi natumia picha ya Chifu Mbelwa wa Tanga alieingia mkataba na mwakilishi wa Ujerumani kumpa sehemu ya Tanganyika 1884
  10. chivala

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1]
  11. chivala

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu

    Basi kama ndio hivyo abadilishe misemo yake ya kizanzibari. Kumbukumbu zinaonyesha Rais wa awamu ya pili Mzee Mwinyi aliwahi kusema: sisi watanzania tumekalia UCHUMI!. huku bara neno hilo la kukalia uchumi, likaleta tafsiri ya Kibarabara.
  12. chivala

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu

    Kama anamaanisha michezo mingine wewe unajua?
  13. chivala

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu

    Enhe! Ulicheza michezo kwenye nchi nyingi, tuambie michezo gani hiyo?
  14. chivala

    JamiiForums Tanzania Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

    Ambulance 2!!!!!!!!!![emoji603][emoji603] nahisi kuna kitu hakija kaa sawa
  15. chivala

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Special warembo
Back
Top Bottom