Recent content by chitalula

  1. chitalula

    Vumbi limetulia ukweli unatamalaki

    Hampendi kukosolewa ,mkikosolewa hamkubali hadharani bali mnasimama na kusitisha zoezi kimya kimya,,,,,,,,,,,rejea bomoa bomoa, sukari kutoka nje, kuhamia dodoma
  2. chitalula

    Pamoja na mkwara wa waziri, Tigo imeongeza makato maradufu kwenye miamala ya Tigopesa

    Sasa hivi Serikali inaangalia namna ya kuzuia mikusanyiko kuanzia Septe 01, baada ya hapo labda wataangalia swala lako
  3. chitalula

    Polisi achaneni na wanasiasa, shughulikieni haya...

    Polisi wana-deal na vitu rahisi tu, wanasiasa hawashiki hata fimbo au nyundo so ni rahisi kumpiga boom la machozi
  4. chitalula

    Kama siyo mikutano ya siasa, bendera za chama za nini?

    Subiri kesho atatoa tafsiri nyingine, au yule msajili wa vyama vya siasa atamsemea kama mwanzo kuwa mmemnukuu vibaya mh rais, mh rais alimaanisha hakuna maandamano ya kisiasa na si mikutano ya kisiasa
  5. chitalula

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo

    Watu wa ile imani nyingine awamu hii c yenu, mtaisoma namba.
  6. chitalula

    Wanachotaka ni wao wasikike lakini sio wapinzani

    Naukizia zile salary slip za mkulu jana zilioneshwa, au bado hakarudi dar maana alisema kupitia clouds kwamba akifika tu dar anatoa ushahidi wa mshara wake
  7. chitalula

    GEITA: Mchina amshushia kipigo kijana wa kitanzania hadi kumsababishia kifo

    Kwenye hii nchi kama huna hela hauna maana. Huthaminiwi
  8. chitalula

    Kuna wizi mkubwa katika matumizi ya kadi ya mabasi ya mwendo kasi

    Yericko upo aisee, Inawezekana tukawatunaibiwa bila kujijua, ntaanza kuwa makini kwa kuangalia salio nishukapo.
  9. chitalula

    serikali ya ccm na polisi wanakimbizana na bavicha huku wakiacha haya mauaji yaendelee!

    Polisi huwa wanakimbilia matukio rahisi rahisi kama hayo, maana na rahisi kuthibiti
  10. chitalula

    Mkurugenzi atumbiliwa kimyakimya kwa madai si kada wa CCM

    Sinema nyingine, hii nchi bhana,
  11. chitalula

    Jeshi la polisi latangaza kuwasaka BAVICHA popote walipo, wananchi wanaowaficha nao watakamatwa

    Kuhamsisha wananchi waichukie serikali" kwani dodoma kuna shughuli ya serikali au ya cham??
  12. chitalula

    Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    Nacte inawataka muende form 5 kwa hiyo mpaka deadline ya kupokea form 5 ipite ndio watatoa selection zao.
  13. chitalula

    Halotel ni kiboko kwa internet speed

    Me pia natumia halotel na naikubali ila kwa baadhi ya sehemu ni chenga
  14. chitalula

    Halotel ni kiboko kwa internet speed

    Kwa hapa kimara ninakoishi aisee halotel Inakera. Internet kila muda ni E tu siifaidi kabisa kila niwapo nyumbani
Back
Top Bottom