The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,908
- 2,889
ni majuzi tu takwimu zilitolewa kua watu kati ya wawili mpaka watatu hufa kila siku kutokana na ajaliza bodaboda idadi hiyo inamaanisha kwa mwezi mmoja watu zaidi ya stini hufariki kwa ajali za bodaboda pekee idadi hii ni kubwa mno na ilinishtua sana,kwani wengi wa wahanga wa hizi ajali ni vijana na pia ukiacha hao wanaofariki wengi wao hupata majeraha na ulemavu wa kudumu. jambo hili linaumiza sana uchumi wa nchi plz polis ikibidi pigeni marufuku matumizi ya pkpk kama chombo cha abiria kuliko kuzuia mikutano ya bavicha.