Unajua Mkono alipo ulimsikia kwa Mara ya mwisho lini.....................au kwa vile yeye ni vegetable....... Au yeye nae anapenda hospital afu kesho anakuja mpenda public eti muniombee kuanzia now tutakua tunaombeana mabaya.........
Bariadi -lamadi kakuta imeisha......
Maswa -mwigumbi kakuta watu wapi site kajiwahi kuweka jiwe LA msingi Ila wakandarasa walikuepo toka early 2015 Hizo nyingine sizifahamu ila kwa hizi umedanganya umma!!!! Yeye ya kwake Massa -Bariadi Japo visibility isha fanyikaga kitambo mwambie aimalizie...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 Nimeoa na Nina mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 4
Ninafanya kazi katika taasisi moja ya serikali nikiwa mtumishi was kada ya kawaida
Mwaka 2013 nilijinyima nikanunua kiwanja na kuanza kujenga mwaka mwaka 2015 nilioa make wangu akanituta nyumba hiyo...
Umekuja kufanya tasmini watu wanasemaje...... Juu ya ulinzi wa......... Mwambie aliekutuma hutajawahi kuwaona walinzi wa kirwanda ndio kwanza taarifa hizi tunazipata kutoka kwako.........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.