Pongezi za dhati kwa ule Mtambo wa Kimawasiliano wa Kijasusi kutoka Israeli ambao sasa unafanya Kazi Kubwa Tanzania

Nilikuwa siamini pale ambapo Mtu Mmoja aliponiambia kuwa niwe makini na Simu yangu hasa nikiwa naongea mambo Nyeti na hakuishia tu hapo akaniambia kuwa niamini nisiamini Simu karibia zote za Watu Maarufu nchini Tanzania wawe wa Kisiasa na Kijamii zinasikilizwa na Watu Maalum nchi hii na kwamba kuna Siku baadhi ya Watanzania watakuja Kuumbuka na hatimaye sasa wanaanza Kuumbuka na Kuumbuliwa.

Sasa naanza Kuona ule Ushirikiano wenu na Taifa la Watu Werevu pengine kuliko wengine hapa duniani la Israeli hadi miaka miwili iliyopita wakatupa Mtambo Maalum wa Kudukua Mawasiliano ya Watu bila Wao Kujijua kwa matumizi ya Kiusalama umeanza Kufanya Kazi na huenda Siku si nyingi Watanzania tukaja Kusikia Udukuzi wa Sauti zingine ambazo tunaweza tusiamini Macho au Masikio yetu kama Walengwa wangeweza kuzungumza / kusema waliyoyasema humo.

Kwa taarifa za chini chini kabisa ambazo bado naendelea Kuzithibitisha nimedokezewa ya kwamba baada ya Kusikia Udukuzi wa Sauti za waliotangulia basi tayari Mtambo huo huo wa Kimawasiliano wa Kijasusi kutoka nchini Israeli Watanzania sasa tujiandae kuanza Kuzisikia Sauti za Watu Wawili ambapo Mmoja alikuwa na Dhamana ya Kikatiba ya nchi hii pamoja na Mwanae ambaye kuna muda nae aliichafua nchi hii kwa aina ya Biashara yake Haramu aliyokuwa akiifanya akiwa anazungumza na Watu ambao wanatuhumiwa sasa katika Sauti zinazosikika.

Rai yangu Kwako / Kwenu kuweni makini na Simu zenu kwani Mtambo wa Kimawasiliano wa Kijasusi wa Kiyahudi ( Israeli ) hauna Masihara ambapo ukikuamulia Kukudukua Kuanzia Sauti yako na hata Meseji zako za Simu unaweza Kufanya hivyo muda na wakati wowote ule. Ndiyo sitaki na wala sipendi Siasa kwani nimegundua kuwa Siasa ni Mchezo wa Kutafutana ambao umejaa Unafiki, Chuki na Fitna nyingi mno.

Poleni sana kwa wale ambao yamewakuta.
Osama alipoamua kutupa simu na kutumia barua na watu kufikisha ujumbe hakuwa mjinga. Tunaojifanya simu tunazijua tutajua kama simu tunazijua au zinatujua.
 
Hili watu wanadhani ni mchezo wa kitoto, lakini repercussion yake ni kubwa. Kwanza watu wengi hawatakuwa na imani na mazungumzo ya simu kuwa ni salama, hivyo kufanya watu kupunguza au wengine kutotumia simu kabisa. Baadhi ya watu wanaweza kususia kutumia line za simu za taifa hivyo kunaweza kukashusha biashara na hatimae kuingia hasara kwa shirika hilo na mashirika mengine yenye kutoa siri za wateja wao. Tukianza kuhukumiana kwa njia hizi za mitandaoni tunaweza kutengeneza fitina kubwa na kusababisha mpasuko mkubwa ndani ya jamii yetu, kwani moto mkubwa husababishwa na vijichehce kidogo tu. Watu wazima wanaelewa kuna kitu hakiendi sawa kwenye huu utawala, tunaomba watu wenye busara waingilie kati kuumaliza mgogoro huu kabla ya mambo hayajakuwa mabaya.
 
Huo mtambo umeleta maendeleo eti zaidi kudukua simu za watu.ni ujinga tu wa ccm na serikali yao
Serikali ya Obama ilidukua mpaka swaiba wake Chancellor wa Ujerumani ama umeanza kusikia leo? Hakuna serikali isiyofanya hivyo hasa wakihisi kuna walakini. Tofauti ni kwamba nchi zingine kibali kinatolewa na mahakama kwa kudukua wenyeji lakini kudukua mgeni hawahitaji kibali cha mahakama ila ikitokea na wewe ukawa unaongea na mgeni basi ujue unakuliwa na huwezi kulalamika maana lengo lilikua kumdukua mgeni.

Barack Obama 'approved tapping Angela Merkel's phone 3 years ago'
President Barack Obama was told about monitoring of German Chancellor in 2010 and allowed it to continue, says German newspaper
Obama 'approved tapping Merkel's phone 3 years ago'

Mr Obama was told of the secret monitoring of Mrs Merkel by General Keith Alexander, the head of the NSA, in 2010, according to Bild am Sonntag, a German newspaper. Photo: AFP/GETTY

Philip Sherwell
By Philip Sherwell, New York and Louise Barnett in Berlin
6:18PM GMT 27 Oct 2013


President Barack Obama was dragged into the trans-Atlantic spying row after it was claimed he personally authorised the monitoring of Angela Merkel’s phone three years ago.
The president allegedly allowed US intelligence to listen to calls from the German Chancellor’s mobile phone after he was briefed on the operation by Keith Alexander, director of the National Security Agency (NSA), in 2010.
The latest claim, reported in the German newspaper Bild am Sonntag, followed reports in Der Spiegel that the surveillance of Mrs Merkel’s phone began as long ago as 2002, when she was still the opposition leader, three years before being elected Chancellor. That monitoring only ended in the weeks before Mr Obama v
 
Back
Top Bottom