Recent content by chini ya muti

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kufanya nywele za mwanaume ziwe nyeusi na zenye afya

    nasikia KY nayo ni nzuri ila kwa sasa imepigwa marufuku
  2. C

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Dhahiri: Bandari yakumbwa na Uhaba wa Mizigo

    poleni sana wale vijana na wasichana mliozoea kunywa heinken, windhoek na savanah, sasa hamieni kwenye mwanmke nyonga (safari lager ndogo) au ukawa/lowasa (pilisner lager)
  3. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupiga hii nyumba rangi upya inaweza kunigharimu kiasi gani?

    tatizo ninaloliona kwenye hiyo nyumba unaweza piga rangi ya bei ghali lakini ikachufuka kwa kipindi kifupi nakushauri upotezee tu
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nguvu iliyopo katika kichwa

    ......ndiyo maana siku zote kichwa ndicho hutangulia kuingia au kutoka....
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume jiulize, huyo dada unayemchezea unataka aende wapi?

    najiuliza sana kwani wakati akipigwa hizo picha hakujua?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Badili mkao wa kitanda chumbani

    mshana JR, naomba uni pm tuongee kikubwa zaidi
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wee Ufoo Saro, Mwageni ni Professor sio Bwana

    ukizingatia hii ni awamu ya maprofesa na madoctor, sarah kuwa makini
  8. C

    JamiiForums Tanzania Influence ya Wachagga Vs Wakinga in Dar Es Salaam

    huwezi linganisha utajiri wa kutafuta tangia ukiwa mdogo na kwa kutumia akili na utajiri wa mandondocha na kutoa makafara ya kuua ndugu
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nani haswa anapaswa kuitwa na kutambuliwa kama "Genius"?

    genius ni mtu anayefanya mambo zaidi ya expectations bila kuwa na elimu ya darasani mfano yule aliyekoza 20 years
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for gentleman

    niloikuwa na mpango wa kutafuta mchumba humu JF lakini kwa sasa nimesitisha hadi 2020 au 2025
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi tulioachwa kwenye uteuzi uliofanywa na Rais Magufuli

    thanx God, natamani ifike muda mtu akipewa cheo alie kwa uchungu maana no future tena
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Wakurugenzi wa NSSF wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    hivi ni namba gani ngumu sana kuisoma au kuitamka?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitu vingi vilivyopo angani ni vya duara?

    Mfano rahisi angalia kila kiungo cha binadamu kinafafanana na duara kuanzia mapu.. hadi papu..
  14. C

    JamiiForums Tanzania DAR: Gari yatumbukia katika mto Msewe Ubungo

    ni riroba vya mchana vimesababisha au stress za hapa kazi tu
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mrembo akifanya yake.

    uzuri wa hiyo ligi ukiwa mfungaji mzuri wa mabao unapewa kila kitu maana usajili wa wachezaji kwenye hiyo timu ni mgumu sana
Back
Top Bottom