Kwahio jamaa aliingia msituni akajikuta mtoni?!!!Mashuhuda wameziomba mamlaka husika kuweka alama katika mto huo kufuatia kuzingirwa na msitu.
Swali kubwa nalojiuliza n kua ameingiaje na n mchana kweupe?Kwahio jamaa aliingia msituni akajikuta mtoni?!!!
Angalia kwa nguvu utaona!Picha please
Angalia kwa nguvu utaona!tuwekee picha tuone mkuu
Angalia kwa nguvu utaona!
Picha ipo labda ame-edit kama hukuiona mwanzo, ni vizuri uwe una quote maana leo utasumbuliwa kweli na wachangiajituwekee picha tuone mkuu
Tcra mko wapi ... 'Hii simu imevukaje ?tuwekee picha tuone mkuu