Kwanini vitu vingi vilivyopo angani ni vya duara?

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,154
56,706
Natumai mu wazima,

Kama kichwa kinavyouliza ndicho nachotaka kujua.

Tunaona mwezi, dunia, nyota na sayari nyengine zina umbo la duara nimetafakari kwanini vipo hivi nimekosa majibu, then nikaona itakuwa vyema nije niwaulize wadau na wajuzi wa haya mambo.

Nadhani majibu nitayapata.

Karibun.
 
Duara ili kuwezesha kujizungusha vyenyewe
 
nyota inazunguka..?
nyota inazunguka ndio.. dunia inazunguka nyota (jua) nayo nyota-jua inazunguka kwenye galaxy(milkway) magalaxy nayo yanakimbiana yenyewe!!......

Based on a distance of 30,000 light years and a speed of 220 km/s, the Sun's orbit around the center of the Milky Way once every 225 million years. The period of time is called a cosmic year. The Sun has orbited the galaxy, more than 20 times during its 5 billion year lifetime.
 
si duara bali duara dufu

anyway mi nafikiri ni kutokana na nguvu za gravity

by the way si kila kilichopo kwenye anga ni duara mfano vimondo si vya duara!
gravity force inafanyaje mpaka hivi vitu viwe vya duara/tufe..?
 
sun-milky-way-location-Caltech.jpg

The planets in our solar system orbit around the sun. One orbit of the Earth takes one year. Meanwhile, our entire solar system orbits the center of the Milky Way galaxy. Our sun and solar system move at about 800 thousand kilometers an hour – that’s about 500 thousand miles an hour – in this huge orbit. So in 90 seconds, for example, we all move some 20,000 kilometers – or 12,500 miles – in orbit around the galaxy’s center.

Our Milky Way galaxy is a big place. Even at this blazing speed, it takes the sun approximately 225-250 million years to complete one journey around the galaxy’s center. This amount of time – the time it takes us to orbit the center of the galaxy – is sometimes called a “cosmic year.”
 
nyota inazunguka ndio.. dunia inazunguka nyota (jua) nayo nyota-jua inazunguka kwenye galaxy(milkway) magalaxy nayo yanakimbiana yenyewe!!......

Based on a distance of 30,000 light years and a speed of 220 km/s, the Sun's orbit around the center of the Milky Way once every 225 million years. The period of time is called a cosmic year. The Sun has orbited the galaxy, more than 20 times during its 5 billion year lifetime.
kuna leta nini kuzunguka kwa nyota/jua..?
 
The Theory of Buoyance inahitaji umbo la duara ili kuelea na kupunguza friction ambayo huongeza dragging. Aliyeongelea juu ya viungo vya binadamu kama macho na makende ni katika theory hiyohiyo ya kupunguza friction na dragging.
 
gravity force inafanyaje mpaka hivi vitu viwe vya duara/tufe..?
kwanza tambua mimi ni mtu wa kawaida tu na hizi ni fikra zangu hivyo nakuomba upunguze ukali wa maswali yajayo!

mimi ninadhani kutokana na kila kitu kuwa na gravity huko angani inapelekea vitu hivyo kuwa na uduara fulani

kivipi,?

kila object katika space lazima inakua na centre of gravity yani kitovu cha nguvu za uvutano so nguvu hizo zinajaribu kuvuta particles zote towards centre yake hivyo particles zote zinazoform objects hizo hujikuta katika hali ya uduara kutokana na kuvutwa andezote kuelekea katikati penye kitovu cha uvutano ni mawazo yangu tu
 
Natumai mu wazima,

Kama kichwa kinavyouliza ndicho nachotaka kujua.

Tunaona mwezi, dunia, nyota na sayari nyengine zina umbo la duara nimetafakari kwanini vipo hivi nimekosa majibu, then nikaona itakuwa vyema nije niwaulize wadau na wajuzi wa haya mambo.

Nadhani majibu nitayapata.

Karibun.

Nafikiri hizi object sio duara, bali ni polygon fulani hivi lisiloeleweka, kinachofanya uone kama duara ni umbali tuliopo kati yetu na hiyo sayari.

Mfano.
Ktk mazingira ya kawaida, unapokuwa karibu na jiwe utaona umbo lake halisi na kujua jinsi lilivyochongeka, lakini kadri unavyosogea umbali toka katika jiwe, michongoko(namaanisha "edge") yake inaanza kufifia na kuleta uwiano wa umbo fulani (yaeza kuwa square ama duara) na mwisho wake kadri ya unavyokuwa mbali zaidi utaona ni kama "nukta".

Nadhani hivyo ndio ilivyo kwa fikra zangu.
 
Natumai mu wazima,

Kama kichwa kinavyouliza ndicho nachotaka kujua.

Tunaona mwezi, dunia, nyota na sayari nyengine zina umbo la duara nimetafakari kwanini vipo hivi nimekosa majibu, then nikaona itakuwa vyema nije niwaulize wadau na wajuzi wa haya mambo.

Nadhani majibu nitayapata.

Karibun.
kuna uzi mmoja wa Monstgala una Majibu yote aisee...utafute
 
storyteller umeongea point nzuri sana. nimepata cha kuuliza je Hawa wana NASA waliofika hadi kwenye hivyo vitu mbona wanakomalia kutuonyesha picha za duara ya hivyo vitu vyote???

KWELI NIMEAMINI HAUJI MWISHO HADI UKWELI ULIOFICHWA UJULIKANE.
 
Ukisoma forces utasoma kitu flani kiaitwa force of oscillating hii imegawanyika mapande makubwa manne sasa ili dunia izunguke slightly and undiscovered hii ni tricky mojawapo

Ila dunia pia uonekana mduara maana uwa kila upande utakao simama mbalina dunia utaona kitu kama plate

Dunia kwenye bara la barafu kule antlantika kuna edge iyo ambayo mtu akidondokea uko basi tena kama umeiona

Pirates of Caribbean utaona ya mwaka 2017 iko bado ni fumbo wanasema baridi nikali kiasi kwamba unaweza jikuta asubuhi umeamka ukaacha mkono kitandani bila kujua ndo ukilema uo tiari

Bado shep ya dunia ni ficho kubwa au sio ficho ila amna alie vumbua vyema maan ata satelite nyingi site zilipo kaa ni huweza kupata tu spatial data ya 1/4 ya ardhi ya dunia

Je unajua dunia kufiti ukubwa wa jua badi dunia zinatakiwa ziji jumlishe mara 200 kufikia ukubwa wa jua!

Fungi06cylopedia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom