Msaada juu ya kufanya nywele za mwanaume ziwe nyeusi na zenye afya

  • Thread starter MZEE MSASAMBEGU
  • Start date

MZEE MSASAMBEGU

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Messages
2,743
Likes
2,393
Points
280
MZEE MSASAMBEGU

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2013
2,743 2,393 280
Wakuu habari zenu,mimi ni mwanaume.nimekuwa na tatizo la kutokuwa na nywele nyeusi zilizokolea vizuri.nywele zangu zinakuwa na rangi kama nyekundu vile so zimekuwa zikininyima raha.sasa wakuu naombeni msaada nitumie mafuta gani au dawa gani inayoweza kuzifanya ziwe nyeusi za kuvutia na mwonekano mzuri NB sio kwamba nataka nizikalikiti ziwe kama za kike na sipo interested na kupaka piko msije mkanielewa vibaya nataka ziwe nyeusi sana coz hii rangi yake kama nyekundunyekundu inanifanya nisijiskie vizuri na nisiwe na mwonekano mzuri kichwani TANX IN ADVANCE
 
R

rugwebe78

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Messages
267
Likes
10
Points
0
R

rugwebe78

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2013
267 10 0
nilitaka kusema piko, kumbe hutaki!
 
Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
4,726
Likes
68
Points
145
Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
4,726 68 145
Kama unataka nywele black sharti ule vizuri.
Kula dawa ya minyoo.
Osha nywele zako na maji ya baridi.
 
R

rugwebe78

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Messages
267
Likes
10
Points
0
R

rugwebe78

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2013
267 10 0
Kama unataka nywele black sharti ule vizuri.
Kula dawa ya minyoo.
Osha nywele zako na maji ya baridi.
we! acha uongo wako bana, unataka kusema na watoto wanaozaliwa nazo wanazaliwa na minyoo? au wahanga wote wana minyoo?
 
nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
3,964
Likes
686
Points
280
nameless girl

nameless girl

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
3,964 686 280
paka mafuta ya vesmo, nadhani sijakosea jina lake.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,789
Likes
125,730
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,789 125,730 280
we! acha uongo wako bana, unataka kusema na watoto wanaozaliwa nazo wanazaliwa na minyoo? au wahanga wote wana minyoo?
Hahahaaaaa hizi tiba nyingine hizi...!hahahaaaaa
 
Mr Suprize

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Messages
933
Likes
473
Points
80
Mr Suprize

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2014
933 473 80
jaribu mafuta yanaitwa grace avocado
 
C

chini ya muti

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2016
Messages
247
Likes
134
Points
60
C

chini ya muti

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2016
247 134 60
nasikia KY nayo ni nzuri ila kwa sasa imepigwa marufuku
 
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
11,945
Likes
10,377
Points
280
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
11,945 10,377 280
Kula Misosi mizuri pia tafuta pesa iwe mfukoni na kwenye accounts zako(mobile acc na Bank acc)
 
Deimos

Deimos

Senior Member
Joined
Apr 7, 2016
Messages
121
Likes
103
Points
60
Age
49
Deimos

Deimos

Senior Member
Joined Apr 7, 2016
121 103 60
Mkuu mbn vaida nimetumiga bila mafanikio?
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
11,981
Likes
8,070
Points
280
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
11,981 8,070 280
Tumia vaida ni mazuri sana hata kwa mwenye mvi

mshana jr;
Ndiyo nini hiyo?? vaida au faida? Je, nkitaka kiparachangu kikolee kabisa yaani nywele zipotee kabisa dawa ipo??
 

Forum statistics

Threads 1,252,149
Members 482,015
Posts 29,798,296