Recent content by Chinga boy

  1. C

    Ni biashara gani nzuri ya kufanya kwa mtaji wa milioni 15?

    fanya biashara ya dagaa wa kula hasa toka ziwa victoria hutojuta
  2. C

    Kwa anayehitaji mwakilishi wa kitu au shughuli yeyote Mwanza anitafute

    Mkuu display no hapo tuwasiliane.. Mine 0719744806 muhimu mkuu
  3. C

    Ninatafuta mpenzi/mume nipo serious

    Ni Pm Madame
  4. C

    Urgently needed Single girls around Iringa-Mafinga

    Call 0762525168 lkn ni baamedi
  5. C

    Minara Mipya Vodacom Sh. Mil. 220, si Uongo huu?

    Hujuwi gharama. za kujenga mnara we.tuulize watu tulioko field
  6. C

    GE2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Mbona hivyo vilivyokufa vipo chini ya ccm.hatudanganyiki tena
  7. C

    Naomba niwe mgeni wako/room mate kwa mwezi 1 hapa Dar

    Unaweza kukaa mbgla kama willing ni pm.mashariti ya kiusalama yatazingatiwa
  8. C

    Nimeshangazwa sana! Eti majeruhi wa ajali analipa gharama za matibabu? Kweli tunahitaji mabadiliko!

    Kaka tena wengine waliambiwa hamna dawa mm ni shahidi cos gari yangu ilitumika kutoa watu pale kupeleka hosp na polisi.Mabadiliko muhimu
  9. C

    CCM kuadhibiwa vibaya sana na wananchi mwaka huu!

    Hii ni kweli kiongozi nipo Mafinga kikazi kati ya watu 10 hapa mjini 7 wanataka mabadiliko nikiwamo mm mwenyewe.hata mtoto wangu Wa miaka 4 nae anataka mabadiliko cos kabla ya kuniamkia ananisalimia Peoples power very amazing
  10. C

    Askari wawili wauawa na majambazi Kongowe

    Nimesikia risasi maeneo hayo wakat Niko home.Dah RIP
  11. C

    Urais UKAWA, hesabu zinalalia CHADEMA

    Hbr nyingine ni purely uongo na bado mnacomment na kupongeza tangu lini seifu akaiacha Zenji na she ria gani imetumika kwa wagombea toka vyama tofauti kugombea pamoja
  12. C

    JK, Rais wangu unacheza mchezo wa hatari sana...

    Wanazuoni mashehe na maustadhi embu mtufafanulie tangu lini mwislam akomuombea dua kafri na je hiyo dua ina swii
  13. C

    Uzi Maalumu: Klabu ya Mpira wa Miguu ya Ndanda

    Kila la heri wakukaya ushindi muhimu leo
  14. C

    Kwanini Watanzania wanapenda sana kukaa kwenye seat za madirishani kwenye Mabasi?

    Duh umenikumbusha wakati Niko Tabora jamaa wanasafiri toka Tbr kwenda Shy au Mwnz huku njiani anakusanya kila aina ya zagazaga kila kila kituo lazima apige shopping jamaa wana Pesa sana
Back
Top Bottom