Ninatafuta mpenzi/mume nipo serious

Ninatafuta mpenzi/mume nipo serious

Mimi ni mwanamke mwenye miaka 47. Nina watoto watatu. Ninaishi Dar Es Salaam.
Ninahitaji kumpata mwanamume ambaye ana mapenzi ya dhati hasa uaminifu. Sihitaji kuolewa au niseme kuishi na mwanamume kwa haraka ila ninataka company tu. Na kupitia kampany nitaweza kujifunza kwa undani kama kweli mwanaume yuko siriazi au la. Ninachohitaji kwa sasa ni upendo wa dhati, nimerudia hapo.

Sitaki wabahishaji wa mahusiano na hapa atakayejitokeza awe mtu wa uhakika ambaye:

- Ni mgani i.e aliyefiwa na mkewe kwa misingi hii kama una baba yako hapa alifiwa na mama niunganishe tu. Au kaka yako ambaye amefiwa na mke niunganishe tu. Au awe Mtalaka na si kutengana.

- Akubali kupima HIV

- Asiwe mume wa mtu au mwanaume ambaye hajao ila ana wanawake ambao ana connect nao. Hii imenigusa sana baada ya kukutana na mwanaume ambaye alizaa na several women kumbe ni mtu ambaye hana future kabisa kimaisha ya familia. Nilimpenda sana ila changamoto za wanaume kama hawa ni kubwa sana. Ni kujitakia presha.

- Anipe uhuru wa kufanya mambo yangu ya kiuchumi kwa kuwa nina watoto na ninahitaji wasiishi maisha ya tabu . Sitaki kuwa tegemezi hapa. Nimejifunza sana.

- Awe ananithamini mimi kama mpenzi wake na asinilazimishe ndoa mpaka pale nitapona kuwa kweli ni mtu wa kuzeeka naye.

- Awe ni mtu anayejituma katika kuzalisha mali, either ameajiriwa/kujiajiri au anafanya biashara zake.

- Awe ni mtu anayependa familia kwa kuanzia na watoto wake mwenyewe iwe ni priority kwake kabla hajawapenda wanangu mimi.

- Awe tayari kuandikiana pre-nuptial agreement kama itafikia mahali tuamue kuishi pamoja. Ninasema hivi kwa kuwa atakuwa na mali zake na wanawe ambao atataka kuwapa urithi na mimi nina wanangu na chochote kidogo nilichoweza kuhangaikia kwa miaka yangu hivyo sitaki ugomvi wa mali hata kidogo.

-Asiwe Mlevi au Mvuta sigara.

- Awe mkristu. Sibagui ila mimi ni mkristu na wanangu pia hivyo itakuwa shida kidogo hapa. Nimekuwa mkweli msinielewe vibaya.

- Awe na miaka kati aya 47-52.

- Akiwa DSM ni vizuri. Nje ya DSM tutakubaliana workable situations.

- Vigezo visikutishe kama una vingi kati ya hivyo hasa umri na kutokuwa na mke tuwasiliane PM na ninaamini tutafikia muafaka wa pamoja.

Ninasema sasa kwa mwanaume ambaye anaona anaweza kujaribu kuanzisha mahusiano na mimi karibu PM. Ukiona utatoa lugha mbovu isiyo na staha ninaomba upite taratibu.

Angalizo.
Nipo serious, ninaomba sitaki lugha za matusi au mitaani mimi ni mtu mzima. Wanaume serious tu na wenye umri niliotaja wani Meseji (PM].
Naomba tuwasiliane kwa 0718 531823
 
Mimi nipo serious naomba tuwasiliane kwa 0718 531823
Asante sana. Issue siyo kuwa serious ni kuwa na vigezo nilivyoweka hapo kwenye post yangu. Kama unavyo basi karibu PM. Siku nyingine usiweke namba yako ya simu hadharani, it is your private affair not public. Hata mimi sikuweka namba hapa. Hata kule PM mpaka nikupe namba yangu ni pale ni lazima nikuelewe vuzuri. So far mpaka muda huu sigatoa namba yangu kule PM. Ninaendelea na mahojiano tu.
 
Uko sawa lakini subili kutukanwa na kukashifiwa na kizazi cha nyoka
Uzuri mmoja sitamtukana mtu hapa hata aje na kashfa kubwa kiasi gani. Hivyo mwache tu kwa kila kila mtu anajua anavyowaza kichwani mwake. Kila mtu ana historia anlivyokutana na mtu wake.
 
Mme huwez ktaftiwa kwenye mtandao jmn tubadilike waTz
Nikuhakikishie hapa ndiyo sahihi sana, kujificha ndani ya ID fake kuna mengi unaweza kuyapata. Ni ngumu sana kukutana na mtu njiani ukajua anachokiwaza hata kama ametoka mahakamani kutalikiana hutajua usipomuuliza. Hapa kuna members ambao wana simulizi tofauti za maisha na kupitia uzi wangu nimegundua wapo tu cha msingi ni kupata a matching couple.
 
Vitu 2 hujenga upendo wa kimahusiano 1.kwa kuona 2.kwa kusikia
Ndoa hudum kwa sababau kuu 1 kupendana, na ili mpendane lazma kila m1ajue napngufu ya mwezake ili kuweza kusamehana, unawezaje kmpenda mtu bila kumuona, bila kusikia tabia yake, ukitafuta mke au mme huu ndan ataficha makucha ili uwe nae ukimuweka ndan anatoa kucha huku akijua huwez kumtimua na hata kama ukimtimua mali mnagawana tena yy anabeba zaid, wazo lang mkuu tafta na oa mtu unaemfaham unajua mapnguf yake nawe utayavumilia hakna alye kamilika chin ya jua, ucoe ucyemjua eti kwa sabab ya sura atakuwafanya vibaya maishan!
 
Asante sana mkuu wangu kwa observation yako muhimu sana hii. Mimi kwa hili hakuna tabu. Sina haraka. Kama ni kusoma tu atasomeka na yeye atanisoma tu. Ukisoma post yangu unajua ninamaanisha nini kwa hili. It will take time na kama makucha yapo yataonekana tu. Subira yavuta heri. Hata huyo uliye naye ulimkuta humfahamu, mkafahamiana mkaanza kusomana na mwishowe ukaona mnafaana.
 
Ok, all the best!!
 
kuna jamaa yetu ni mtu wa watu ana kila sifa unayoitaka except anapenda sana clubbing nadhani imesababishwa na yeye kukaa mamtoni muda mrefu,amekaa miaka 30,kama uko interested nikutumie ID yake umuendee PM
 
Asante sana. Huyo jamaa aje hapa mwenyewe kama yuko humu. Ila kwa sifa ya clubbing ninaona tumetofautiana sana and he seems to be a lifest. Not a potential match.
 
Asante sana. Huyo jamaa aje hapa mwenyewe kama yuko humu. Ila kwa sifa ya clubbing ninaona tumetofautiana sana and he seems to be a lifest. Not a potential match.
ok,nitamuita sema na yeye yuko serious na maisha sana,ni muwekezaji kwenye mambo ya social network
 
Hapa ninatafuta life partner kwa upande mwingine si mtu wa sarakasi kitandani. Binafsi nina miaka 47 na niseme niko busy na maisha na kazi zangu zaidi kuliko masuala ya sarakasi.

Kwa misingi hii pia kimaadili mimi kuwa na underage haitawezekana. Ingekuwa nina 30s then ningesema wa late 30 au 40s. Ndiyo maana hata hapa age range ni ndogo sana ya 3 yrs. Sijaweka conditions bali ni vigezo, hata wewe ulipokuwa unamtafuta mke/mume kuna vigezo uliweka na si lazima by 100% viwe sawa ila angalao vingi vipatikane.

Kuhusu jina kweli limetisha na linafanyiwa kazi. Mpaka kesho ninadhani Mh. Invisible atanisikia na avatar nitabadilisha pia. Uwe na amani sana.
Kama nakuona vile , ila nimekupenda sana ulivyomuwazi ,ulivyoufungua moyo wako na kukitoa kilichomo moyoni mwako big up ,mimi sina sifa ila nakuombea ufanikiwe
 
Watu wengine huwa wanakosa wapenz wazuri sio kwa bahati mbaya ila ni kwasababu ya misimamo miingi kama hii yako ambayo kwa kiasi kikubwa umetawaliwa na umimi (ubinafsi). Hivi ni mtu gani anayejitambua utamwambia nataka ufate hiki, kile mara usiniingilie kwenye hiki na kile halafu naye akubali tu na kunywea kama vile sio binadamu mwenye hisia na mapendeleo?
Nakushauri tu, mahusiano yoyote (hata yasiyo ya kimapenzi) it's about compromise of what you believe kwa kiasi flani. Usipolikubali hilo utaendelea kuwa mpweke milele au kupata kampani za watu wenye malengo ya muda mfupi kama hao uliotangulia kuwa nao.
He !!!!! umeongea maneno mazito pongezi kwako
 
kwa hiyo wewe suala la msosi hujihusishi? Hupikii mwanamme?
Asante. Mwanamume ninampikia. Kilichofanya nijibu vile ni kuwa post ya mhusika ilisema ' njooni huku kuna msosi'. Hapo nilijibu tu kwa busara ningeweza hata kumtolea maneno ya kumuudhi kabisa. Hope umenielewa
 
Kama nakuona vile , ila nimekupenda sana ulivyomuwazi ,ulivyoufungua moyo wako na kukitoa kilichomo moyoni mwako big up ,mimi sina sifa ila nakuombea ufanikiwe
Asante sana. Ukweli ni kitu kizuri sana na kuwa muwazi. Na ninahitaji mkweli na muwazi pia.
 
ok,nitamuita sema na yeye yuko serious na maisha sana,ni muwekezaji kwenye mambo ya social network
Asante. Huyo mwekezaji wa mambo ya social network usikute ni yule mtoto wa Mh. fulani mstaafu? Mwenye connections na kina Davis Mosha? Kama ni huyo hapana.
 
Back
Top Bottom