JK, Rais wangu unacheza mchezo wa hatari sana...

JK, Rais wangu unacheza mchezo wa hatari sana...

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
4,896
Reaction score
1,866
Nimeyatazama haya maneno ya EL na ule ujumbe toka "msoga" kisha nimetambua kuwa JK anacheza mchezo wa hatari sana.

Mbali na kumuomba atangaze nia, masheikh hao pia walimsomea dua ya kumtakia heri katika harakati hizo.

“Nyie ni special (maalum), mnatoka Bagamoyo na inajulikana kwa historia na ni nyumbani kwa Rais (Jakaya Kikwete). Namimi nimepata baraka zake na nyie mmemuwakilisha,” alisema Lowassa.

“Tumetoka naye mbali sana, lakini Mwenyezi Mungu akinijalia nitaanzia pale alikomalizia. Amefanya kazi kubwa na ya heshima kwa kweli. Kwa hiyo kitendo cha kutoka nyumbani kwenu kuja kuniona kwa kweli kimenipa nguvu kwamba wenzangu wa Bagamoyo wako pamoja na mimi.”

Alisema anaheshimu sana maneno waliyomwambia masheikh hao na anayakubali.

Lowassa pia alimsifia Rais Kikwete kwa kufanya mambo makubwa nchini na kwamba kati ya maeneo aliyoshughulika nayo sana ni elimu.
 
Lowasa atapitishwa ili CCM ishinde
 
Wanazuoni mashehe na maustadhi embu mtufafanulie tangu lini mwislam akomuombea dua kafri na je hiyo dua ina swii
 
Sasa semeni AKWII kabadilisha dini....hebu oneni hata ma Sheikh kutoka Bwagamoyo bila ya kujali imani yao wanamuunga mkono AKWII.Huu ni upendo kwa Imani zote na inafaa tuige.
 
Wanazuoni mashehe na maustadhi embu mtufafanulie tangu lini mwislam akomuombea dua kafri na je hiyo dua ina swii

ina swih tena sana hii ni kuomba tabarak juu ya mja wa mola kwani sisi sote tu wa maullaanah inshaallah
 
Kama mpangaji wa hivi vikundi vya kwenda KUMSHAWISHI mheshimiwa kugombea siyo yeye EL mwenyewe, big up!. Wasi wasi wangu wakati ule Sitta na Lowasa walipokuwa wanashindani kutoa misaada makanisani ilibainika ni wao wenyewe huomba waalikwe kama wageni rasmi kwenye hizo harambee kwa faida wanazojua wao. Watch out!!!!
 
njaa bora ibaki tumboni tu kuliko kukimbilia kichwani
 
Kama mpangaji wa hivi vikundi vya kwenda KUMSHAWISHI mheshimiwa kugombea siyo yeye EL mwenyewe, big up!. Wasi wasi wangu wakati ule Sitta na Lowasa walipokuwa wanashindani kutoa misaada makanisani ilibainika ni wao wenyewe huomba waalikwe kama wageni rasmi kwenye hizo harambee kwa faida wanazojua wao. Watch out!!!!
hivi ni vikundi vinavyolipiwa nauli na posho , siasa za ccm ni za kishamba sana ! wanataka kumtapeli nani ?
 
Sasa hv Dodoma area D anako kaa Mh. Lowassa wanavyuo zaidi ya 8,000....wamevamia home kwake huku wengine makundi wakiandamana wakitaka atangaze NIA.....ni noma DODOMA muda huuu...

Ni umati mkubwa sanaaaa wa wanavyuoo...hadi bara
bara zimefungwa wakiwa ktk maandamano na mabango mengii

Kweli EL...ni Mungu anamwongoza....!!!
 
Kikwete ni Rais wa Tanzania. Si Rais wa Bagamoyo. Hata kama Kikwete amewatuma, Watanzania hatukutaki Lowasa
 
Acha muvie iendeleee mwaka huu unazidi kua mtamu mpaka ifike october tutashuhudia drama za kutosha
 
Kikwete ni Rais wa Tanzania. Si Rais wa Bagamoyo. Hata kama Kikwete amewatuma, Watanzania hatukutaki Lowasa

hata kama wewe humtaki / LAKINI LOWASSA CHAGUO LA WATANZANIA WOTE, CHAGUO LA WENGI NI CHAGUO LA MUNGU/ALLAH/GOD/SHREE SWAMINAPTURA/
 
Back
Top Bottom