Urais UKAWA, hesabu zinalalia CHADEMA

Urais UKAWA, hesabu zinalalia CHADEMA

Nakanusha Comment yangu hapo juu baada ya kugundua mtoa mada ni Gamba na mpotoshaji
 
Hbr nyingine ni purely uongo na bado mnacomment na kupongeza tangu lini seifu akaiacha Zenji na she ria gani imetumika kwa wagombea toka vyama tofauti kugombea pamoja
 
Kazi nzuri. Upinzani wa kweli ni ule unaolenga kuleta manufaa kwa wananchi. Ukawa mzingatie hilo na Mungu atakua nanyi.
 
Maaaaamaaaaa nchi imeondoka kweli ukawa wanamashambuluzi makali hahahahaha....
 
Mamamamaa maCCM yanakwenda kuzikwa yangali bado yanapumua.
 
Kama ni kweli basi it's POOR TIMING ...........................!!

Nawashauri wauchune mpaka CCM wajiingize kichwa kichwa kwanza!!

You are dead wrong; you dont dont it Mr Zero! surprises are not worthy in such contests; kukaa kimya na usirisiri ni kuwaiga CCM wanaotaka kuwanyonga wenzao wanaojitokeza as if kugombea urais ni kuvua nguo hadharani; (indecent exposure)!!!!!!!!!!!!!!
 
Dr slaa anamvuto kwa wananchi kwa sasa??
Binafsi 2010 nilimpa kura lakini kwa sasa hapana...
Kama kweli wamechemka sana sana .. Kura zitapungua sana
 
SINa imani kabisa na kibabu silaha,KWANZA NI MZEE SANA NA BADO ANAMPANGO WAKE NA KASKAZINI, NYINYI MTWARA,TANDAHIMBA NA KWETU VWAWA MBOZI MBEYA TUTASUBIRI SANA

Mbona babako mzee lkn humwambii akuachie mkewe?
 
Huu ni uzushi mtupu kutoka CCM Lumumba.
UKAWA haiko kugawana madaraka ila kutetea haki za wananchi.

Yaani wewe huna tofauti na wafuasi wa gwajima, akili zako zote umeweka kwapani umewaachia chagadema wafikirie zaid yako.
 
uwezo mdogo wa kifikiri,mnakoment ujinga,ukawa ni chama au mdudu gani na wamesajiliwa wapi
 
Back
Top Bottom