Recent content by ChimpuluNchimbi

  1. ChimpuluNchimbi

    Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

    Tafuta kitabu kinaitwa "History Of USA"... Kimeelezea mengi juu ya uvumbuzi Wa America...kiufupi kwenye hicho kitabu mvumbuzi anayetajwa ni muitaliano mmoja hivi wakuitwa Amerigo Vespucci na sio Christopher Columbus kama wengi tunavyoaminishwa. Historia inabainisha kuwa hata jina America...
  2. ChimpuluNchimbi

    Clouds wana shobo na Alikiba hadi wanaboa

    Siyo kuwa clouds wana shobo Mkuu...usichoelewa kuwa clouds ni kampuni na inajiendiesha kwa kutegemea faida hivyo menejiment team ya kiba imegharamia mchongo mzima Wa kutangaza ujio Wa ngoma yake mpya sambamba na brand yake ya energy drink ya mofaya.. Hivyo hapo ishu ni kuwa clouds wamevuta...
  3. ChimpuluNchimbi

    "Swahiba" Wimbo unaosikika zaidi unapotokea msiba

    Kwa utafiti wangu Mdogo nilioufanya nimegundua kuwa Wimbo "Swahiba" Ulioimbwa na Msanii Jebby ambaye kwa sasa ni marehemu aliomshirikisha Afande Sele unaweza kuwa ndiyo wimbo pekee Wa bongofleva unaopigwa zaidi pindi unapotokea msiba Wa mtu mashuhuri. Kiukweli hata Leo Hii nchi ikipatwa na...
  4. ChimpuluNchimbi

    Tuifahamu historia ya NINJA aka Samurai

    Sokoshugi ambaye wengi wetu tunamwita shokoshugi huyu ni nija kamili siyo Actor pekee kama unavyodhani...huyu ni Korean Ninja
  5. ChimpuluNchimbi

    Hii safari siku nimepanda Basi, abiria wote tunaelekea kuchinjwa/kunyongwa

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Gudume huishiwi Visa mikasa...
  6. ChimpuluNchimbi

    Bei ya zao la Vanilla yapaa; kuuzwa dola 500 hadi 580 kwa kilo

    Hii huenda ikawa habari poa kwa wakulima na wale wenye mipango ya kufanya uwekezaji katika kilimo. Habari ni kuwa zao la Vanilla lililolimwa na kuvunwa vyema kwa sasa huuzwa Kati ya dola za kimarekani 500 mpaka 580 kwa kilo moja. Kwa haoa Tz zao la Vanilla huota na kustawi zaidi katika mikoa...
  7. ChimpuluNchimbi

    Tetesi: Zanzibar kupokea ndege 15 kutoka kwa Bakhressa

    Kampuni za Azam zimeendelea kufanya mapinduzi ya uwekezaji kwa kuanza kuwekeza katika Usafirishaji Wa anga kwa kutegemewa hivi punde kushusha ndege 15 kwa ajili ya shughuli za usafirishaji kutoka Zanzibar kwenda maeneo jirani
  8. ChimpuluNchimbi

    Rais wa Mauritus Ameenah Gurib-Fakim akataa kujiuzulu, siku chache baada ya kukubali

    Raisi Wa Mauritius, ambaye ndiye raisi wa kike pekee barani Africa kwa sasa, Bi.Gurib-Fakim amejikuta katika msukosuko Wa kujiuzulu madaraka yake ya Uraisi kufuatia kashfa inayomkabili ya kufanya matumizi ya hovyo ya pesa zilizotolewa na shirika lisilo la liserikali kwa ajili ya kusaidia ada...
  9. ChimpuluNchimbi

    Vitabu vitano (5) vitakavyobadili maisha yako

    Kwa mujibu Wa taratibu za kiuungwana nimeona ni vyema na haki vitu vizuri nikala na wenzangu... Basi nikaona si mbaya kama ntashea list ya vitabu vitano vitakavyoweza kuchochea uelewa wetu juu ya mambo mengi ya dunia hii. Wana JF wenzangu, wapenda kusoma vitabu na hata wale wasio na mazoea ya...
  10. ChimpuluNchimbi

    Tujikumbushe tulipotoka

    Mbona hii picha ni kama imefanyiwa editing za Photoshop!?
  11. ChimpuluNchimbi

    Ninapendwa mie

    Bila shaka atakuwa ni Gudume....
  12. ChimpuluNchimbi

    Hekari moja ya shamba la miti ya miaka 8 linauzwa

    Duuuu!...Kweli vyuma vimekaza mpaka shamba lisilo na hati linauzwaje!!?...Sheria na taratibu za uuzwaji ardhi unazifahamu kweli.!?..Acha njaa..Take Care Mkuu
  13. ChimpuluNchimbi

    Huyu nasikia kawaloga watanzania wote.

    Hujaeleweka Mkuu...yaanu thread haijawa Noted...
  14. ChimpuluNchimbi

    Kila Mtu Aweke Uongo Wake Hapa

    Leo nimeenda kanisani nikakuta mchungaji kapandisha mapepo...nikashindwa kushangaa asee!
Back
Top Bottom