Recent content by chimpa100

  1. chimpa100

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Lengo ilikua kuonesha ishara ya msamaha ambao ulikua wa kipekee ambao Yesu aliutoa kwa msaliti wake. Vivyo hvyo tz tujue tumesha samehe takribani miaka 50 sasa
  2. chimpa100

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mtanzania wa ukweli hawezi kuwa na sababu yakinifu za kuendelea na utawala ule ule
  3. chimpa100

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Baada ya kuitafakari Hotuba ya Dkt. Baadhi ya vitu vimebaki kinutatiza. *Wakati wa Hotuba kuna baadhi ya maneno ya philosophy ambayo yalitumiwa na dkt. Maneno haya yalikua [Signing ya Yesu na Kuumwa na Nyoka] =>Kuna madai kuwa dkt aliombwa kuuza jimbo huku masharti yake yakiwa ni kupata fedha...
  4. chimpa100

    CHADEMA kwafukuta mbaya, watoleana bastola

    Huyu jamaa atakua MFA maji, hatakuandika news hawezi. Tukio hajalishuhudia afu anasema kama maigizo??
  5. chimpa100

    Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Mtoa mada umezingua hyo Ndoto au Story
  6. chimpa100

    Wanachuo UDSM - COICT wafukuzwa chuo kisa umaskin wao

    Masters ni commitment ubabaishaji umetokea wap wakapige kazi afu waje kujilipia..no priority no loan
  7. chimpa100

    Machinjio kufungwa mashine maalum

    Atakua anawasha nan hyo maana itakua ni ishu tena
  8. chimpa100

    Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum ruler of Dubai afanya kufuru nyingine

    Baasi sawa kibongo bongo bado sana kufikia level hyo magari ya polisi yenye vingori kuacha landrover ni machache sembuse lambogini
  9. chimpa100

    Maajabu ya herufi "k"

    Joseph konyi
  10. chimpa100

    Malawi gives Tanzania's ambassador 48 hours to leave Malawi!

    unajua maana ya international relation ww..nchi ngaapi zina ubalozi tanzania kama unajua basi ifute kauli yako hyo
  11. chimpa100

    Wananachi wa Arumeru Mashariki wanaulizia ahadi ya Mbunge wao kushusha bei ya sukari

    Kwani mpangaji bei ya sukari ni nani huyo alietangaza bajeti ndo ana mamlaka sio joshua
  12. chimpa100

    Airtel sasa wanaendesha utapeli na wizi wa mchana kweupe. January Makamba uko wapi?

    Me pia nliipata kama hyo hapa nlipo natumia bundle ya mb 400 kwa 2500 asa cjui kama hyo ya mb 200 itamaliza mwezi tcra hawafuatilii hili mpaka wasikie kuna mionzi inaua ndo wanatoa tamko kwa hili ahahaah wanakunywa kahawa ofisini tu
  13. chimpa100

    Ufisadi serikali ya wanafunzi mzumbe- dsm campus

    Hao muso ni mafisad wadogo huku main campus ndo usiseme raisi aliyeondoka saiv ana gx 100 kapatia wap usiulize
  14. chimpa100

    Dah Mei 12 hadi 15...

    Kiroho safi
Back
Top Bottom