Machinjio kufungwa mashine maalum

Machinjio kufungwa mashine maalum

Wanataka kupoteza Ajira za watu.
Mnataka wapiga nondo waongezeke mitaani.?
 
Mhe.Mwinyi jana mbon alisema vizuri tuu. Nilipenda kauli zake za ni nani achije.
 
Kweli tupo nyuma sana mpaka leo tunajadili nani kachinja kila mtu akae na imani yake na ale kile imani yake inamruhusu mimi nakula chochote kilicho mbele yangu sijali hata achinje nani naombea kikiwa mezani kwa imani yangu.
 
Tatizo liko pale pale kwani hawa wenzetu masharti yao katika kuchinja kwanza lazima awe ameva msuli bila chupi. Mashine haina hivyo vitu.

yaani nimecheka sana kwa bandiko lako hili nasikia pia huwa wana beba shingo, maini, na mshiko ndiyo unatumika kujengea nyumba zao za ibaada, na kwenye kuku mpaka utumbo wanachukua sijui kwenye nguruwe huwa wanabeba...
 
yaani nimecheka sana kwa bandiko lako hili nasikia pia huwa wana beba shingo, maini, na mshiko ndiyo unatumika kujengea nyumba zao za ibaada, na kwenye kuku mpaka utumbo wanachukua sijui kwenye nguruwe huwa wanabeba...

Nyie nyumba zenu za ibada, mnajengea pesa za Richmond na MoU, hivyo lazima uwe na kiburi na makafir wote hupenda kutamalak !
 
nasapoti hiyo kitu. tuachane kabisa na watu wa dini fulani tu ndio wachinje....au k
ama wanataka kuchinja basi wasipate ujira wala wasiondoke na hata kilo moja ya nyama....manake hilo ndo mojawapo ya tatizo....mchinjani hatoki mikono mitupu...hahahaha. ndo maana watu wametoa ndita wanaona wananyang'anywa tonge mdomoni.
Wakristu wameingia kwenye mtego. Kwani Hao Waislaam wachinjaji walikuwa wanapata kiasi gani? Ni ufinyu wa mawazo tu. Wakristu mnachuma dhambc
 
Tatizo liko pale pale kwani hawa wenzetu masharti yao katika kuchinja kwanza lazima awe ameva msuli bila chupi. Mashine haina hivyo vitu.

Mmm, dada Bubu Msemaovyo hapa umeongeza chumvi bwana. Mimi sio Muislam lakini najua wanavaa makwego yao kama kawaida ila tu kofia ni muhimu.
 
Hivi na nyama ya nyati mbona inaliwa ,kwani uwa anaelekezwa kibra kabla hajafa kwa risasi?anyway mimi nachoona hapa bado watadai na mashine itoke Saudi Arabia,na isomewe dua kabla haijawa fixed kiwandani.
 
Kwa hiyo wagalatia mlilianzisha la kuchinja kwa ajili ya tamaa na choyo cha firigisi !? Chuki yenu iko wazi na hawala hamtaweza ! Uislaam ...utashinda dini zooote ! Hata mkinuna !

hata mimi nashangaa wagalatia hawataki nirudi home na firigisi na utumbo wakat wanangu kina sideboi na shebi wameshazoea hivyo. Hakika makafiri wabaya
 
Kuna uwezekano mkubwa machinjio yote ya serikali kufungwa mashine maalum za kuchinjia wanyama za kuendeshwa na nguvu ya umeme. Hii ni kutokana na kushindwa kupata muafaka wa jambo hili.
Nawasilisha.
Alaa kumbe! Nyama iliyochinjwa kwa mashini ni halal kwa wenzetu? Wajue kuwa mashine hiyo imetengenezwa na makaffir wa ulaya! Au hawajui hilo?
 
na direction ya huko anakoangalia mnjama.KIBLA@
kuabudia dini yako nyama wakati wa kuchinja na nyama hiyo kuliw ana wasioamini dini yako, si fair kabisa. tusijekuwa tunakula nyama ambayo imetambikwa, why hadi direction ya kibra? wanamwelekezea nani pale, wanamtambikia mtu au ni nini?
 
Back
Top Bottom