Recent content by Chikwale

  1. C

    Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

    Hii ni fake news. Lema yupo Arusha na watoto wake wanaenda shule kama kawaida. Na leo nimeonana nae town. Hii ni purely fake news.
  2. C

    Uchaguzi 2020 Je, kuna chochote cha maana kilichofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano?

    Watu wameanza kuingiwa na wenda wazimu. Hiyo definition ya wapi. Umeipata wapi. Tukisema unaishi maisha bora tutakuwa tunamaanisha nini. Bila shaka tutakuwa tunamaanisha una nyumba bora. Gari nzuri. Watoto wako wanasoma shule nzuri. Una income nzuri etc etc. Sasa katika ku miliki vitu hivyo...
  3. C

    Tahadhari na ushauri kwa system: Msimwonee haya mtu, akishindwa achaneni naye na akishinda atangazwe

    Yaan how. Mimi huwa sielewi unaposema majina ya watu wa bara. Ina maana wazanzibar waliopo bara hawatakiwi kupiga kura? Mi ninavojua wapiga kura wote wanaruhusiwa kupiga kura mahali walipojiandikisha. Au kwa lugha nyingine mahali ambapo ni makazi yake kwa sasa. Kama ww ni wa bara lakin for now...
  4. C

    Nembo ya Simba imebadilishwa na nani?

    Ww una tabia kama za Lisu. Inawezekana una undugu na lisu au mnatoka kijiji kimoja au pengine mlisoma darasa moja mwalimu wenu mmoja. Sent from my LG-K520 using JamiiForums mobile app
  5. C

    USA, mataifa mengi Ulaya na India ni miongoni mwa ambao ndege zao bado haziruhusiwi kuingia Kenya, natumai hawatalialia kama Watanzania

    Nadhan unaelewa pia kuwa na KQ haitui huko. Kama ndege zao haziruhusiwi kutua kenya its obvioursly hata zenu haziruhusiwi kutua kwao. Ndivyo na sisi tulifanya. Wala sio tatizo. Tumewazuia mmeleta kulia lia. Kwan a kimyaa kungekuwa na tatizo gan. Sent from my LG-K520 using JamiiForums mobile app
  6. C

    COVID-19 Test Kits zilizogunduliwa kuwa na hitilafu kwingineko duniani siyo hizi za Magufuli

    Pole chige. Nakuonea huruma sana. Nilidhan unaleta scientific proof apa. Kumbe unatumia sources za mitandao. Nilifurahi nikaona sasa nimepata msomi ambae atatufafanunulia kitaalam, kumbe ni ku nukuu vyanzo vya mitandao. Hujui hata samples huwa zinachukuliwaje. Hujui hata swab zina maana gan...
  7. C

    Mimi ni mgeni naomba mnikaribishe

    Duh. Ugonile. Ulinkafu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    Arusha imebadilika kabisa

    Heb fafanua mkuu. Ma rasta wanaolewaje. Au wanaoa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    Zanzibar: Serikali yapeleka muswada kuzuia biashara ya pombe wala kiwanda. Sheria ikipitishwa, itadhibiti watu kunywa au kukaribia maeneo ya vileo

    Zanzibar inapaswa kuwa mkoa wa Tanzania. Otherwise watapoteza hata watalii Sent using Jamii Forums mobile app
  10. C

    Ni wakati muafaka wa Zanzibar kujitenga na Tanganyika

    Ndio. Tunajua ni mawazo yako tu ya kijinga . Sent using Jamii Forums mobile app
  11. C

    Nataka kufanyiwa tohara siku chache kabla ya kufunga ndoa

    Daktari wa Meno, Mkuu kwa ni lazima ukate. Achana na mawazo potofu. Mambo ya kukata mtayafanya mkiwa tayari mme na mke. Na mtashauriana kama yeye anaona kuna haja ya kukata au hapana. Otherwise usijaribu kukata kabla ya harusi. Utakuja kuaibika. Utatia aibu sana. Achana na hilo wazo its too late...
  12. C

    Dkt. Idrisa Rashid aliyewahi kuwa MD TANESCO yuko wapi?

    Duh. Mkuu taratibu bas. Yaan watanzania hamuhitaji umeme.!!? Pole sana. Sisi wengine tunauhitaji tena sana mkuu. Na bahat mbaya hatujakuchagua ww kuwa msemaji wetu. Kwa hiyo funga tu domo lako hilo. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. C

    Thank you so much Dear Ex

    Mwanamke utakaempata ajihesabu kuwa kapata mwanaume wa kweli. Mkuu jitambue kuwa wanaume wa type yako nowdays ni wachache sana. U r a real man. Hongera sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. C

    Kutamalaki kwa Hekima: Serikali ijibu vipi Marekani na kwanini? Mtego wa Ikulu

    Mzee mwanakijiji. Mimi naamin kabisa kuwa hata hatua hizi ilizochukua marekan ni matokeo tu ya mvurugano walionao wao huko kwao. Na tamanio la wao la kujaribu kupunguza kasi ya serikali hii ili nchi nyingine zisiige mfano huu. Kwa sabab Magufuli amevuma sana na kuna hatari ya nchi nyingi za...
  15. C

    Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

    We ulishaenda jimbon kwake Monduli ukaona hali ya maendeleo ya jimbo lake? Nenda kaone ili uweze kujua kuwa yule jamaa hovyo kabisa yule. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom