Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,140
- 14,678
Mtu wa ovyo ni wewe unayeshadadia mambo yasiyokuhusu nadhani siku hizi huna kazi za kufanya. Wanaolialia ni ninyi Wakenya mliozuiwa kuleta vindege vyenu...Hilo la kufukuzwa kazi ni mambo ya mtu binafsi na hayatuhusu humu, nimekushangaa kumbe uko hovyoo kiasi hicho, humu hatujadili matatizo binafsii ya watu, tunajadili udhaifu wenu kwenye kupambana na corona na kulialia mkilazimisha kuingia kwenye mataifa ya watu.