Arusha imebadilika kabisa

Arusha imebadilika kabisa

black sniper,
Wanyama wawindwaji na binadamu kwenye vitalu vya uwindaji wanashangliia hii hali.
Wanyama mbugani na kwenye hifadhi kama Serengeti, Ngorongoro na Manyara wanapumzika kelele za magari ya binadamu.

Wanyama wengi kama faru nanii wanapata huduma ya kuijaza dunia kwa faragha bila chabo za makamera.

Wanyama wawindaji wanakamata mawindo yao kirahisi bila mawindo yao kushitushwa na magari ya wapiga picha.

Asili inachukua nafasi yake kurudisha maisha katika uwiano wa kiasili.
 
Wanyama wawindwaji na binadamu kwenye vitalu vya uwindaji wanashangliia hii hali.
Wanyama mbugani na kwenye hifadhi kama Serengeti, Norongoro na Manyara wanapumzika kelele za magari ya binadamu.

Wanyama wengi aka akina faru nanii wanapata huduma ya kuijaza dunia kwa faragha bila chabo za makamera.
Wanyama wawindaji wanakamata mawindo yao kirahisi bila waindo yao kushitushwa na magari ya wapiga picha.

Asili inachukua nafasi yake kurudisha mamisha katika uwiano wa kiasili.

Hii picha ndio imemaliza mambo yote
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Titicomb,
Kwa Kweli dunia inapumua kwa sasa hata miti itasitawi vizuri na hao wanyama wacha wajimwambafy kwa raha zao.

Kama nawaona nao wanasema tumeonewa sana

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Marasta hoi wamekosa vibibi vya kizungu. Nakumbuka vijana walikuwa wanabebeshwa ndizi kutwa nzima
Mzee ni shida kuna siku nimekutana na vibibi viwili vya kizungu kila kimoja na mvulana wa kimasai atm pale crdb friends corner
 
Mzee ni shida kuna siku nimekutana na vibibi viwili vya kizungu kila kimoja na mvulana wa kimasai atm pale crdb friends corner
Hao jamaa wana tamaa na Dolari. Kuna jamaa dereva tuazi alishoboka na wajerumani flan walipokua porini wakamuomba mambo akakataa. Sasa waliporud kwao wakamtumia tiket. Jamaa akaona Hawa ndio watu wa maana.

Aisee jamaa kushuka tu airport breki ya Kwanza nyumbani maeneo ya mashambani hukoo. Kakoma, kaacha na Mambo ya utalii, anaugulia Bashnet hukoo.
 
Hao jamaa wana tamaa na Dolari. Kuna jamaa dereva tuazi alishoboka na wajerumani flan walipokua porini wakamuomba mambo akakataa. Sasa waliporud kwao wakamtumia tiket. Aisee jamaa kushuka tu airport breki ya Kwanza nyumbani maeneo ya mashambani hukoo. Kakoma, kaacha na Mambo ya utalii, anaugulia Bashnet hukoo.
Wajeruman asili yao ni ukatili,
Asilimia kubwa ya vijana wa hapa wanatoka na wamarekani, wa Norway 🇳🇴., Canada nk.
Madereva tours na wenyewe wapo wamesanda, matrip yale ya huku na huku hamna,. Maflycarture wale wamebadilisha muondoko sahiv wanapiga Kazi masokoni nk.
 
Kuna wale madly wengine wamejiongeza wanapika babantilie pale karibu na back peckers. Chakula kitamu balaaa, buku kwa buku jero unakula unashiba
Wajeruman asili yao ni ukatili,
Asilimia kubwa ya vijana wa hapa wanatoka na wamarekani, wa Norway ., Canada nk.
Madereva tours na wenyewe wapo wamesanda, matrip yale ya huku na huku hamna,. Maflycarture wale wamebadilisha muondoko sahiv wanapiga Kazi masokoni nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wale madly wengine wamejiongeza wanapika babantilie pale karibu na back peckers. Chakula kitamu balaaa, buku kwa buku jero unakula unashiba

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 Babantilie, haaa haaaa zamani wanaume walikuwa hawapiki lakin siku hizi ndio wapishi wazuri
 
Ndugu yangu mleta mada hi Hali ikiendelelea hivi mpka mwezi wa sita Hali itatishaa.

Kuna jamaa biashara zake zote nne zinadeal na wageni tuu. Na inchi zilizo athirika ndo wateja wake wazuri(China) juzi tulikutana ofisi yake ya vinyago Yani ni kweupe waTanzania kununua vinyago vitu vya asili ni wagumu. Hotelini ndo hivyoo kila siku kupunguza wafanyakazi mzigo kuleta China haifai.

Huu ugonjwa utatufungua akili kubadilisha mifumo yetu ya kufanya biashara.
 
chuma cha mjerumani,
Mimi nilikuwa na biashara kule vinyago nilifunga mwezi wa pili bila hivo ningejutraa.
Biashara nyingi za hapa kama vile migahawa, hoteli, hadi watu wa sokoni wanategemea sana watalii kuingiza kipato.
Leo kila mutu iko Lia
Yan Arusha sahiv hapafai
 
Asee polee Sana. Tuombe Mungu huu ugonjwa usiendelee kwa muda mrefu watu tutakuwa vichaa. MIKOPO ndo itakuwa changamoto kurejesha. Cultural heritage amefungua?

Saivi huu ugonjwa umeathiri sana utalii kinachofuata utaenda kwenye biashara nyingine. Ukiona mwenzako ananyolewa nikujiandaa na maji.
 
Back
Top Bottom