Recent content by Chikwa

  1. Chikwa

    World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Inaweza ikawa na ushindani kidogo kwa sababu wote hawana point hata moja. Lakini Ecuador ananafasi kubwa ya kushinda.
  2. Chikwa

    Nape: wanaotaka serikali 3 ni wahuni na wana uchu wa madaraka.

    Tume ya Warioba ilichukua maoni ya wananchi ambao walisema wanataka serikali tatu. Nape ametusi wazee wetu na wananchi.
  3. Chikwa

    Bendera ya China kupelekwa mlima Kilimanjaro

    Bendera ya China ipepee Mlima Kilimanjaro?!?!? Wanajukwaa mlio na taarifa kamili juu ya hili tafadhali elezeni.
  4. Chikwa

    Mwenyekiti wa CCM Afrika Kusini aeleza ukweli kuhusu mabilioni ya Shimbo

    If only our leaders took the fight against corruption seriously. Nchi ngumu hii.
  5. Chikwa

    Top 10 most beautiful mosques

    FaizaFoxy Thank you for this thread. The art and design of these mosques is very beautiful.
  6. Chikwa

    TANZIA: Member wa JF, Sunguti2009 afariki dunia

    Pumzika kwa amani mkuu.
  7. Chikwa

    Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

    This is madness, unawezaje kuua watoto wasio na hatia?
  8. Chikwa

    Must see Movies

    Kweli mkuu, Elba deserves an Oscar.
  9. Chikwa

    Must see Movies

    Mkuu, Long Walk to Freedom ni nzuri sana Idrissa Elba ameigiza vizuri.
  10. Chikwa

    Mtoto wa kike miak 5 na miezi 7 na siku 17 azaa mtoto mwenzi wake!

    Majanga!!! Jamaa aliyempa hiyo mimba hawezi kuwa na akili.
  11. Chikwa

    Ajali Tena: Imeua 8, ni Cosata Njombe

    Poleni wafiwa, Mungu awapatie nguvu.
  12. Chikwa

    Mtoto wa Miaka 5 Afa Maji Wet n Wild!-So Sad!.

    Inasikitisha sana, huduma za dharura katika maeneo ambayo watoto wengi hucheza sio za kuaminika. Wazazi kuweni makini hasa tunapoelekea mwisho wa mwaka.
  13. Chikwa

    Joyce banda buys interceptor fighter boats to defend lake malawi!

    Point of correction mkuu ni Lake Nyasa sio Lake Malawi!
Back
Top Bottom