Huu ni uzalendo? Hata bendera inageuzwa juu chini!!

Msakapanofu

Member
Dec 2, 2011
67
95
Watanzania wenzangu,
Nimeishuhudia hii katika vyombo vya habari viongozi wakikabidhi bendera ya Taifa kwa vijana wa 'The Tanzanite', wanaotegemewa kusafiri leo kwenda kwa hayati mzee Madiba kwa mchezo wa marudiano.
Kilichonisikitisha ni kuoneshwa bendera ya taifa iliyogeuzwa juu chini. inasikitisha sana.
 

Attachments

  • The Tanzanite.JPG
    File size
    76.4 KB
    Views
    96

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
May 16, 2013
1,337
0
Si ndio maana tunashindwa kwa kila jambo? Hivi sisi nani alituroga? Tunaweza lipi sasa? Kana ni michezo tunashindwa, Siasa ndo usiseme, kuvuna raslimali hapo ndo kwisha habari yetu, Elimu sasa kuna divisheni V, Bungeni sasa safari hii tunamtaka Spika Mwanamke, Usishangae uchaguzi ujao ikapita sera kwamba sasa tunamtaka rais Mwamamke.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom