Recent content by chiko simion

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    No izo 0222772432 ila kuwa mvumilivu unaweza ukipiga hata mara 50 wakapokea moja xo kuwa mvumilivu tuuu bac
  2. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete Aagiza Kidato Cha 5&6 Kila Kata

    Mfano mbondole,kitonga,yangeyange,msongola,mbande na nyngine kibao zinazingua kimtindo yn..
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Wapigie cm watakusaidia co mpaka lazima uende mm co lazima ulipe tena 30 wanakusaidia iyo mbna ishu simple sana iyo uco ogope wanakutisha tuuu namba zao zipo kwnye form pale pale wanakusaidia ishu ndogo iyo ww ucogope...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete Aagiza Kidato Cha 5&6 Kila Kata

    Anakuua apo ila kuna badhi ya shule za kata zipo vzr hasa dar
  5. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete Aagiza Kidato Cha 5&6 Kila Kata

    Of coz ilo nalo neno ishu ni kuziboresha tuu icho ndo cha msingi kiukweli....lkn co kusema wanahalibu eli wangehalibu elimu hata hizo shule za kata olevel wangejenga...hapo ni kuboresha tuu bac...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete Aagiza Kidato Cha 5&6 Kila Kata

    Kweli umeongea humu ndani jf kuna watu wabinafsi yn wanataka waonekane wao tuu ndo wanaelimu naic uyu mshikaji hata shule za kata zilivyo azishwa alimaind yn ujue watz weng atujua mana ya elimu bola ni nn coz watz weng tume kalili kwamba elimu bora ni ile watu wakifanya mitiani wakifeli wengi...
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi kuna campaign dhidi ya Daimond

    Hahahahaha kazi kweli kweli
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Dar: Watu wajihifadhi kituo cha mabasi yaendayo kasi Jangwani

    Aiseeee umenichekesha sana mkuuuu dah miujiza hiiiii project imekuwa kifadhio cha raia...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kutunza siri ya mchepuko

    Ha ha ha ha ha ha mkuuuuu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Traffic jam imezidi

    Ha ha ha ha ha ha kazi kweli kweli sure ameni tabu ya nn
  11. C

    JamiiForums Tanzania Faraja Nyalandu ana miaka 30?

    Mtoa mada anazingua
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa mimba house girl hataki kuitoa wala kuondoka hataki

    Diiii kazi kweli kweli muoe na yy ka vp uwe na wake wawili c mbaya
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kwenda jeshini na chuo kikuu kwa mtu aliyesoma science

    Ndo nasikia walihaidi eti sijui tutaenda soma military science nje kati ya ujeruman au japan me nkaona propaganda tuuu nchi ynyewe hii bora nipige chuo kwanza...
Back
Top Bottom