chiko simion
Member
- Mar 11, 2015
- 53
- 16
Hameni huko, kwani mmelazimishwa kukaa huko? Nendeni Geita hakuna foleni
Ha ha ha ha ha ha kazi kweli kweli sure ameni tabu ya nn
Hameni huko, kwani mmelazimishwa kukaa huko? Nendeni Geita hakuna foleni
Na Dar ndio waliompigia kura nyingi sana... wala wasilalamike
Ila unaambiwa ukiona foleni zinaongezeka mjini ujue ndio maendeleo yenyewe hayo. Kipindi cha nyuma miaka 70 hadi 90, tulikuwa tunatoka maeneo ya Mwembe Chai tunaenda Ferry kipindi hicho gari ni za kuhesabika, lakini sasa hivi maendeleo yamekuwa makubwa kiasi kwamba kwa vijana wa sasa gari wanaita BASIC NEED, yaani kama chakula, mavazi na malazi. Mtoto akimaliza chuo tu akipata kazi cha kwanza kabisa anakopa ili awe na gari, ni jambo zuri kwani ndio maendeleo hayo. Kibaya ni kwamba serikali imesahau kujenga miundo mbinu endelevu kulingana na ongezeko la watu jijini Dar na ongezeko la magari. Kingine kungefanyika mpango angalau wa kuiendeleza mikoa mingine nayo ili population ya Dar ipungue manake kha mpaka inakera. Watu wamekuwa wengi sana na kijografia huwa mji ni mdogo sana kuweza kubeba watu milioni 5 sijui (nasungumzia waliohesabiwa tu)
Pole
ngoja nianzishe mobile toilet kwa nyinyi mnaobanwa kwenye foleni nipatae ada za watoto maisha yamebana
Kweli,coz unakaa kwenye folen hadi unaanza kusinzia,Dar hatulali tunajiegesha tu,nimefika nyumban saa 5 na saa hivi tayari nshafika job
Traffic police mmetoweka nini?
Toka saa kumi na nusu hadi saa hivi bado nipo
Embu tuokoeni tufike makwetu
Traffic police mmetoweka nini?
Toka saa kumi na nusu hadi saa hivi bado nipo posta hiihii foleni haisogei
Embu tuokoeni tufike makwetu
Lol...mna umuhimuMbona mlisema traffik hawa umuhimu wa kukaa barabarani imekuwaje leo mnawatafuta kawaiteni jwtz hao ndo watawasidia maana ndo wanao jua kufanya hizo kazi