Rais Kikwete Aagiza Kidato Cha 5&6 Kila Kata

ccm wameharibu sanq mfumo wetu wa elimu.

Bila shaka wewe ni mbinafsi!! Kwavile ulipata elimu hupendi wala hutaki kuona wadogo zako na wanao wakipata elimu kwa "urahisi".

Unataman kwa vile ulisomea chini ya mwembe na wadogo zako wasomee hapo hapo! Unatamani kwa vile kijijini kwenu ulisoma peke yako, hutaki mwingine asome
 
Agizo la kujenga maabara lilichukua miezi mitatu tu kukamilika. Sasa kwanini hilo la kidato cha 5 na 6 uone maajabu wakati walimu wapo wa kutosha kwa sasa?

unamaanisha zimeshajengwa na kukamilika nchi nzima? (Kuhusu kuwa tayari kwa kutumika nitakuhuliza baadae)
 
Bila shaka wewe ni mbinafsi!! Kwavile ulipata elimu hupendi wala hutaki kuona wadogo zako na wanao wakipata elimu kwa "urahisi".

Unataman kwa vile ulisomea chini ya mwembe na wadogo zako wasomee hapo hapo! Unatamani kwa vile kijijini kwenu ulisoma peke yako, hutaki mwingine asome

Kweli umeongea humu ndani jf kuna watu wabinafsi yn wanataka waonekane wao tuu ndo wanaelimu naic uyu mshikaji hata shule za kata zilivyo azishwa alimaind yn ujue watz weng atujua mana ya elimu bola ni nn coz watz weng tume kalili kwamba elimu bora ni ile watu wakifanya mitiani wakifeli wengi iyo ndo elimu bora huuu ni uwongo lengo la elimu co watu kufeli ila watu kufaulu sasa watu wakiona BRN wanadic wana chukia wabongo cc bhna na ndomana atuendelei kwa sabb ya ubinafsi na roho mbaya kwa mm naona BRN ndo frsh coz tuna pata wasomi wengi na watalamu wengi xo big up kikwete kwa agizo lako ccm aiuwi elimu bali huleta maendeleo kwnye elimu coz nw shule kibao by de way mm cna chama cpgiii proma ccm ila kama inafanya vzr lazima niongee...
 
Hizo shule za kata zilizopo zimejaa vilaza sana, sidhani kama ni sifa kuongeza idadi ya wanafunzi kuipita Kenya wakati ubora wa wanafunzi waingiao kidato cha kwanza ni mbovu sana.
 
Roho mbaya wa chama fulani bado anaendelea kumeng'enya ubongo wa wafuasi wake. Huwezi kuwa unapinga kila kitu hata kilicho na manufaa.

Kama ameona kuna tatizo sasa hivi linahitaji kuanza kufanyiwa ufumbuzi aache kutoa maamuzi kisa anakaribia mwisho wa madaraka?

Tatizo mnataka matamko yenye manufaa kwa wananchi yatoke kwa viongozi wa upande wenu tuu. Yakitoka upande mwingine tofauti na ninyi mnapinga.
 
Kwani cut-off time ya rais kutoa maelekezo ni miezi mingapi kabla ya uchaguzi?

inatakiwa atekeleze yaliyomo kwenye bajeti inayoendelea. mpaka sasa utekelezaji wake ni 20% sasa anahangaika nn na maagizo/maigizo mengine?
 
Kwani ni agizo la Kikwete au agizo la Rais? Kwani alikuwa anaongea kama Rais au kama Kikwete?

haijalishi mkuu,ila haya ni moja ya maajabu ulimwenguni.hizo shule za kata tu o'level shida,kila kitu kinamapungufu makubwa ambayo ni chini ya wastan.lakini labda na wewe utusaidie busara zako,ukiwa kama mtanzania,mazazi,mdau wa elimu na mzalendo wa nchi hii,kipi bora,kuboresha na kuondoa mapungufu yaliyopo au kuongeza A'level?kwa maana navyojua mimi misingi ya A'level inajengwa na O'level.kama O'level ni hovyo unategemea nini katika A'level??????????????
samahani mkuu,hivi hili nalo linahitaji phd au hisani ya watu wa marekani?
 
Roho mbaya wa chama fulani bado anaendelea kumeng'enya ubongo wa wafuasi wake. Huwezi kuwa unapinga kila kitu hata kilicho na manufaa.

Kama ameona kuna tatizo sasa hivi linahitaji kuanza kufanyiwa ufumbuzi aache kutoa maamuzi kisa anakaribia mwisho wa madaraka?

Tatizo mnataka matamko yenye manufaa kwa wananchi yatoke kwa viongozi wa upande wenu tuu. Yakitoka upande mwingine tofauti na ninyi mnapinga.

tatizo siyo roho mbaya mkuu,hebu hata na wewe jiongeze basi na kiakili chako hicho kinachokusaidia kusaka tonge kwa shida,kipi bora kuboresha olevel katika shule hizo au kuongeza alevel wakati olevel ni hovyo kabisa?au kwa kuwa wanenu wako international schools na abroad?
 
Kwa hiyo ww unabeza uwepo Wa elimu ya form 5&6 ktk kila kata? Kwani ujue elimu ni msingi wa maisha kwa binadamu
 
Kweli umeongea humu ndani jf kuna watu wabinafsi yn wanataka waonekane wao tuu ndo wanaelimu naic uyu mshikaji hata shule za kata zilivyo azishwa alimaind yn ujue watz weng atujua mana ya elimu bola ni nn coz watz weng tume kalili kwamba elimu bora ni ile watu wakifanya mitiani wakifeli wengi iyo ndo elimu bora huuu ni uwongo lengo la elimu co watu kufeli ila watu kufaulu sasa watu wakiona BRN wanadic wana chukia wabongo cc bhna na ndomana atuendelei kwa sabb ya ubinafsi na roho mbaya kwa mm naona BRN ndo frsh coz tuna pata wasomi wengi na watalamu wengi xo big up kikwete kwa agizo lako ccm aiuwi elimu bali huleta maendeleo kwnye elimu coz nw shule kibao by de way mm cna chama cpgiii proma ccm ila kama inafanya vzr lazima niongee...

mkuu,maeneo yako tu huko uliko,hebu jaribu kutembelea hizo shule za kata uone elimu yake ilivyo,nadhani utakuja na hoja tofauti.hakuna anayepinga kuanzishwa alevel lakini kwanini tusiboreshe kwa nza olevel.shule zinamapungufu tangu walimu mpaka chaki,hakuna vitabu,madawati,walimu,maabara yamesimama majengo tu baada ya kulazimishana hivi juzi.kwanini tusiboreshe kwanza hizi olevel halafu ndiyo tujenge alevel,kwanini tusinunue vifaa vya maabara kwanza ili hii olevel iliyopo isome kwa mazingira bora kabla ya ku introduce alevel ambayo haipo?tunahitaji elimu bora au bora elimu?
au kwakuwa watoto wenu hawasomi huko?tunahitaji msaada wa serikali ya china katika jambo dogo kama hilo?

ok tumeshapata majengo,kwanini basi tusiboreshe kwanza kabla ya kuendelea mbele?hivi kunatofauti gani kati ya mtu aliyesoma mpaka form four akapata ziro na yule ambaye hajui kusoma wala kuandika?wanatofauti gani?
 
Of coz ilo nalo neno ishu ni kuziboresha tuu icho ndo cha msingi kiukweli....lkn co kusema wanahalibu eli wangehalibu elimu hata hizo shule za kata olevel wangejenga...hapo ni kuboresha tuu bac...
 
tatizo siyo roho mbaya mkuu,hebu hata na wewe jiongeze basi na kiakili chako hicho kinachokusaidia kusaka tonge kwa shida,kipi bora kuboresha olevel katika shule hizo au kuongeza alevel wakati olevel ni hovyo kabisa?au kwa kuwa wanenu wako international schools na abroad?
Hawa watu wameweka mbele siasa kuliko hata masilahi ya nchi na watu wake.
 
Kama kweli katoa agizo basi ni Jambo jema, Kikwete anaipenda Nchi yake sana, Alipotoa Agizo kujenga Udom waliobeza wameaibika baada ya Mafanikio makubwa kuonekana, Udom pekee ni kama jiji.

Agizo la JK litekelezwe haraka.

UDOM ni bomu litakalilipuka muda ukifika wala siyo mafanikio ya kujivunia
 
Of coz ilo nalo neno ishu ni kuziboresha tuu icho ndo cha msingi kiukweli....lkn co kusema wanahalibu eli wangehalibu elimu hata hizo shule za kata olevel wangejenga...hapo ni kuboresha tuu bac...

sasa tuna haraka gani na majengo?kama shule ya kata tu imezidiwa na olevel kuongeza alevel itakuwa tunadumisha au ndo tunaingiza elimu yetu shimoni?una kilo 8o,umebeba mzigo wa kilo 150,then anakuja mtu anakwambia tunaboresha kwa kukuongezea mzigo mwingine wa kilo 50,anakuua au anakuboreshea?
 
Anakuua apo ila kuna badhi ya shule za kata zipo vzr hasa dar
 
Back
Top Bottom