Recent content by Chiffu Nako

  1. Chiffu Nako

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliochaguliwa kidato cha kwanza kufanya mtihani mwingine

    Hii nzuri nimeipenda. Watuondolee watoto wabovu.
  2. Chiffu Nako

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya Part 2: Yanayojiri Central Police, Sirro awatimua wananchi na wanahabari Central

    Mafisadi gani walioshughulikiwa?
  3. Chiffu Nako

    JamiiForums Tanzania Donald Trump kusema hataki kulindwa na CIA ni sawa na Magufuli kukataa kulindwa na TISS

    Correction kidogo hapo Mkuu. Secretary of state pamoja na balozi zote za USA wanalindwa Na kikosi kiitwacho Diplomatic Protection force.
  4. Chiffu Nako

    JamiiForums Tanzania Donald Trump kusema hataki kulindwa na CIA ni sawa na Magufuli kukataa kulindwa na TISS

    Kwanza mleta mada unatakiwa kujua Rais wa Marekani huwa halindwi Na CIA. Jukumu hilo ni la Secret Service. Pili,acha kutuletea story za vijiwe vya kahawa humu. Weka source za kuaminika ili hata mtu akitaka ku cross-check authenticity afanye. Usilete story za madenge humu.
  5. Chiffu Nako

    JamiiForums Tanzania Rais aagiza kupokonywa kwa Mihuri kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa Nchi nzima

    Wakinyang'anywa wachonge mingine. Hiyo ndo solution
  6. Chiffu Nako

    JamiiForums Tanzania Nina watoto, sina nyumba na sina mke

    Ha ha kisandu..we jamaa ni dramatic character. Kila cku unakuja na kituko.
  7. Chiffu Nako

    JamiiForums Tanzania Mawaziri 5 bora 2016

    Mawaziri 1. William Lukuvi 2. Prof Makame Mbarawa 3. Prof Sospeter Muhongo 4. Prof Joyce Ndalichako
  8. Chiffu Nako

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuchukua mzigo nilioagiza nje ya nchi

    Kwahiyo nikitumia wengine tofauti na hapo sipati mzigo wangu?
  9. Chiffu Nako

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuchukua mzigo nilioagiza nje ya nchi

    Msaada wanajukwaa . Nataraji kununua kimzigo flan huko nje ya nchi sasa tatzo cjui ntaupataje ukishafika hapa nchini. Nikitaka kulipia huko ili usafirishwe, naletewa courier services za nje mf. China air mail services, hongkong, etc. Sasa tatizo langu sifahamu kama hzo couriers zipo ofisi zao...
  10. Chiffu Nako

    JamiiForums Tanzania Nipo maeneo ya Nzega Stand, watu wanapiga Picha na Jimmy Master kwa 2000 kila kichwa

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwa kweli nlikua na ucku mbaya Ila ww umenifanya nichangamke kwa kicheko...Mr #Jeblass
  11. Chiffu Nako

    JamiiForums Tanzania UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

    SAUT? Chuo cha kata hicho..watu kuscore coursework za 40 ni kawaida kabsa. Sasa nenda udsm kama hujadisco.
  12. Chiffu Nako

    JamiiForums Tanzania Natafuta camera za siri kwa ajili ya ulinzi wa duka langu

    Zinauzwaje
  13. Chiffu Nako

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafuasi wa CHADEMA sasa wanatamani kuongozwa na watu aina ya Lissu na Lema?

    Tumekusikia msemaji wa 'wanaotaka lissu & lema waongoze cdm'. Nadhani msg sent kazi yako umeifanya barabara.
Back
Top Bottom