Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
Kumekuwepo na uzushi mwingi ikiwemo uongo na propaganda juu ya maisha yangu na watoto wangu wa kuzaa.
1. WATOTO.
Nina watoto wanne, kila mtoto na mama yake, mtoto wa kwanza Mungu alinibariki nikiwa Mwalimu wilayani Nzega nilipata kuzaa na Dada mnyamwezi Nzega mjini mtoto wa kike Hakuwa mke Bali nyakati za ujana mwaka 2009.
Mtoto wa pili nilimpata kwa kuzaa na Mwalimu Eva (mchaga) wa shule ya msingi Hondelo kata ya Ungo wilayani Lushoto, Tanga, naye ni mtoto wa kike. Naye ilikuwa harakati za ujana wakati wa uchaguzi mkuu wa wabunge na Rais 2010 na mwaka 2011 Mungu akatubariki, hakuwa mke.
Mwaka 2012 mwezi wa tatu nikiwa mwaka wa mwisho wa masomo ya Shahada ya kwanza SEKUCo (Tumaini University) ndio nilimpata Mwalimu wa shule ya msingi Ngulwi(maria-msambaa/mmbugu) hapo wilayani Lushoto, Tanga na mwaka 2013 Mungu alitubariki kwa mtoto wa kiume. Yeye niliamua kuishi naye maana nilikuwa bado chuo. Na nilifanya Engagement pale Lushoto kwa ajili yake. Lakini tuliachana rasmi tangu mwaka 2014 Oktoba baada ya uvamizi wa walaghai na waongo na yeye kuolewa.
Hata hivyo mwaka Jana 2016 Mungu alinibariki kuzaa na Secretary mmoja(veronica-muha) hapa Mwanza mtoto wa kiume. Lakini mdada huyo kisha olewa na ana MTU mpaka sasa, hakuwa mke.
Kwa mantiki hiyo Mimi naishi peke yangu, na wazazi wenzangu wanajua Jinsi wanavyotumika na maadui zangu kupotosha na kutoa taarifa za uongo. Huku natuma matumizi kama kawaida. Pamoja nakufokewa na Mabwana zao lakini najitahidi sana kuwa mkakamavu.
2. NYUMBA.
Sijawahi kujenga NYUMBA Lushoto na wala sina kiwanja chochote Lushoto. Ni propaganda za maadui zangu wanaopanga kunichelewesha kimaisha. Najua sana mpango mbovu unaoendelea.
Aidha sijawahi kujenga NYUMBA Nzega na wala sina kiwanja Nzega, nilikuwa naishi kwenye NYUMBA ya shule kipindi nafanya kazi Mwamala sekondari.
Pia sina NYUMBA na wala sina kiwanja jijini Mwanza. Ni propaganda za watu wenye nia mbaya ili nisifanikiwe. Naishi kwenye NYUMBA za kupanga mpaka sasa. Tuhuma zote zinazotolewa kwangu ni za uongo.
Nimekubali Kudhalilika. Wilayani Kahama sina NYUMBA yoyote Bali ni NYUMBA za marehemu mzee kwangu. NYUMBA za urithi ni za wengi. Kifupi sina nyumba wala kiwanja popote pale Tanzania nchini kwangu. Nitajenga za kwangu.
3. MKE MPYA.
Nilisema nataka mke bikira kwa kuwa nafikiri labda akianzia kwangu hatakimbia. Lakini mapenzi hayana bikira. Natarajia kuoa mke sahihi ambaye hatarubunika na maadui zangu. Kwa maana ya kuwa wale wote nilio zaa nao wameweza kurubunika na ndio maana nimeshindwa kuwa oa. Nahitaji mke wa kunilinda na sio tapeli anayetumwa kuja kuzaa na kukimbia sio kutengeneza maisha.
NB: Njia za waongo ni fupi. Mimi ni mzazi najua uchungu wa kuwa mzazi, endeleeni kunipotoshea ukweli wa maisha yangu. Mipango ya watumishi wenzangu Mwanza ni kuwa nife nikiwa sina kitu na ndio maana wanapotosha kila kitu.
Niliwahi kuwasikia kuwa akifa Deo Kisandu ndugu zake wakija watakuta hana lolote. Kufa Mimi sita kufa ila wanaoninenea kifo ndio watakufa. Amen
ANGALIZO: Hebu na Viongozi wetu wajitokeze waseme ukweli wao kama Mimi toka ndani ya mioyo yao.
HUO NDIO UKWELI WANGU.
Ndimi;
Deogratius Nalimi Kisandu
7 Januari 2017