Mawaziri 5 bora 2016

Dume la Mende

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
417
195
Sasa tunaelekea kumalizia mwaka huu wa 2016. wafuatao ndiyo bora zaidi kiutendaji " top 5" .... Hii ni kwa mtazamo wangu.

Mawaziri:

1. Mwigulu Nchemba
2. Nape Nnauye
3. Ummy Mwalimu
4. Mbarawa
5.Ndalichako

RCs
1. Mrisho Gambo.......Arusha
2. Paul Makonda.......Dar
3. Amos Makalla.......Mbeya
4. John Mongella...... Mwanza
5. Anthony Mtaka.....Simiyu

Ma DC top 5 kwa 2016
1. Glorious Luoga......Tarime
2. Fadhili Nkurlu.....Kahama
3. Ali Hapi.......kinondoni
4. Kasesela.....Iringa
5. Ruth Msafiri.......Hanang
 

ngabobo

Member
Dec 23, 2016
75
125
Mmh. Mimi cjui. Kwa mawaziri labda kidogo no.5.Kwa mar'c kazi kwelikweli.Madc ndo kabisa sielewi...
 

konar

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
267
250
Utendaji upi mkuu?, umefanya tafiti au umekurupuka, vigezo gani umetumia
 
  • Thanks
Reactions: km4

Transcend

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
20,171
2,000
Lumumba put your hands up!!!

Hiyo safu wa Rc's ni wazee wa kugain popularity...
 

Mugabe Tz

Senior Member
Apr 6, 2016
177
250
Utendaji upi mkuu?, umefanya tafiti au umekurupuka, vigezo gani umetumia
nilitaka kuuliza swali kama hili maana icje ikawa Mkuu ameamka na hangover za jana akaja na uzi huu, atleast tuambie kama kuna research yyte umefanya
 

CONSTRUCTIVE THOUGHT

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
1,166
1,500
Sasa tunaelekea kumalizia mwaka huu wa 2016. wafuatao ndiyo bora zaidi kiutendaji " top 5" .... Hii ni kwa mtazamo wangu.

Mawaziri:

1. Mwigulu Nchemba
2. Nape Nnauye
3. Ummy Mwalimu
4. Mbarawa
5.Ndalichako

RCs
1. Mrisho Gambo.......Arusha
2. Paul Makonda.......Dar
3. Amos Makalla.......Mbeya
4. John Mongella...... Mwanza
5. Anthony Mtaka.....Simiyu

Ma DC top 5 kwa 2016
1. Glorious Luoga......Tarime
2. Fadhili Nkurlu.....Kahama
3. Ali Hapi.......kinondoni
4. Kasesela.....Iringa
5. Ruth Msafiri.......Hanang
Vp kuhusu Waziri Mkuu?
 

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
5,497
2,000
^66
Vp kuhusu Waziri Mkuu?
PM Majaliwa hana maamuzi anafanya kupelekeshwa na JPM kwa ziara za kushtukiza tokana na umbeya na unafiki!
Mfano mzuri ni ziara mkoani Arusha hivi karibuni. PM mzima anakomaa kutaka apelekewe sijui pembe za
faru John, mara vinasaba(DNA) mara alipozikwa ili iweje?Wakti huohuo kuna Watz wanane(8) wamekufa au kupotea katika mazingira ya kutatanisha llakn Majaliwa yuko kimya anagawa bodabodavArusha mjini ATI KUMMALIZA GODBLESS LEMA! Kama Majaliwa ni mwanamme kwanini unapigana na mtu uliyemfunga mikono????
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom