Recent content by Chief

  1. C

    JamiiForums Tanzania KERO Bima ya Afya ya Jeshi(JWTZ) haitusaidii Wanajeshi na Familia zetu

    Na nyie mnalalamika online?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kikwete aliona mbali sana kwamba ni kheri Slaa kuwa rais kuliko Tundu Lissu

    Ebu rusha hapa hayo matusi tuyaone.
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eric Omondi Akamatwa Nairobi CBD Akiendesha Kampeni ya “Punguza Mzigo”

    Eti unapanuaje eneo la kuitawala? Idea yako kuwa huduma ziletwe karibu na wananchi ni nzuri sana nasi watanganyika tuongezewe majimbo ya uchaguzi tuwe na wabunge kama Zanzibar ili huduma ziwe karibu zaidi kwa wananchi. Tupiganie hili jambo.
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari Njema Kwa Wanaume: Mahakama Kenya yaamuru Wazazi Wakipeana Talaka Gharama za Malezi ya Watoto Kuchangiwa Sawa

    Kwa hiyo Hafidh Ameir abebe majukumu ya kumhudumia mkewe na watoto wake?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wimbo wa zamani wa kinyiramba muziki wa dansi unasema "Pena ukiiza uze utambule kesa"
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi

    Mahakama za Marekani sio kama za TZ. Hata Rostam anajua.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Tanzania ina Makamu wawili wa Rais? Mmoja ni halali na mwingine ni batilifu hadi Septemba 4 ndipo anakuwa halali. Rais na VP Sio Wabunge!

    Huyo ambaye batili kwa sasa atakuwaje halali tarehe 5 September? Ukioa mke wa mtu ndoa yako itakuwa halali mumewe akifa?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu Zubeir: Rais na Serikali wanatukanwa Masheikh mmenyamaza Kimya! Mmepataje hizo nafasi zenu?

    Kwani wewe Mufti umefanya nini?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kabla kesi hata haijasikilizwa... Mshtaki huwa anaamini mshtakiwa ana makosa

    Kama utaamini mshtakiwa hana hatia, kwa nini umefungua kesi?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Je, Time Travel Inawezekana? Einstein Alitupa Jibu Miaka Kadhaa Iliyopita

    Sibishi nataka u-time travel, basi. Rudi mpaka siku ya uhuru wa Tanganyika.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Bibi Titi Mohamed ameenziwa na serikali wakati alikuwa mhaini?

    Nina swali hilo hilo muda mrefu.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta rap moja imeimbwa kinyaturu sijui mwimbaji ni nani. Ni ya zamani
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wamiliki wa ma bus ya mikoani

    Basi linalala hapo ofisini. Kwa nini Coaster ikodiwe kuwapeleka abiria stand kuu wakati basi inaenda kule kule?
Back
Top Bottom