che chaunichile
JF-Expert Member
- Jul 4, 2026
- 593
- 987
Hawa wana uzuri wa asili,ngozi laiin,na wengi nyuma wamejaaliwa.siku Moja tulikwenda hospitali Fulani Mimi na rafiki yangu.akatokea huyo kiumbe.Wote tuliokuwa pale tulipigwa na butwaa kuanzia wagonjwa,watumishi na wauguzi..wake kwa waumeNa wana miili mizuri, unakuta sister ana miaka 40 chuchu saa 6... wanajitunza.. wao ni kazi na sala..
Rafiki yangu akajikuta amepayuka kwa sauti "Nabadili dini" watu wakamshangaa,akili zilipomrudia akaanza kujishtukia,Akala Kona.
Yule sista kaumbika