Hata wao walishindwa kuzuia tabasamu lao!

Hata wao walishindwa kuzuia tabasamu lao!

Kwenye Filamu ya Godfather II, Kuna scene moja, Raia 'muasi' anajilipua kwenye gari na kuua Polisi wa Dikteta Batista.

Michael Corleone anawaambia Madon wenzie kuwa, 'waasi' watashinda. Wenzake hawakumuamini, usiku ule ule Batista akakimbia nchi. Na castro akatwaa Madaraka.

Hii picha inaeleza ujumbe mkubwa sana. Ukiweza kusoma alama za kisiasa, inakupa ujumbe mzito sana.

WanaCCM, lazima tujitazame upya. Kuna makosa makubwa ya kisiasa tuliyafanya toka 2019, matokeo yake tumeyaona sasa. Kwa miaka Mingi tumekuwa na compromising opposition nchini, we took it for granted, na imezalisha Militant Opposition ambayo inahimiza Mass Democratic actions (MAD).

MAD huwa hazimei siku moja, zinachukua muda kumea na kutoa matunda. Tabasamu la hao askari hapo, ni ishara kuwa Mbegu ya MAD, inaanza chipua mioyoni mwa watu.

Bado tuna muda, tuna muda wa kukaa mezani na Upinzani, bila hila wala ghiriba, tukakubali mabadiliko ambayo yatafanya upinzani nao uwe sehemu ya utawala wa kisiasa.

Unazuiaje watu haki ya kuchagua, halafu tutegemee mambo yawe kawaida tu?
Sina hakika kama kweli wewe upo CCM; pengine umebaki huko kiwiliwili tu, kifikra ulishakwenda Tanzania Mpya.
 
Samia hawezi kuvumilia kukaa na watu waliomzidi akili
Ukiniambia watu wooote walioko huko wanazidiwa akili na Samia (?);

Hapana. Hili nafikiri umetumia tu maneno bila kulenga maana yake ni nini.

Kutakuwepo na kishawishi kikubwa zaidi ya hiyo akili.
 
Sio kwa ubaya, jmn hivi mtu akiwa mahabusu harusiwi kuchana nywele au kunyoa nywele
Baba wa watu mbona Wana mwacha awe hivyo, ........

Mimi sija penda 😳
Wanawanyoa kwa mstari.
 
Kuna mambo huwa hayazuiliki. Huwa yanakuja tu au yanatokea tu kiasili.

Mapema leo wakati Mchungaji Msigwa anasalimiana na Mheshimiwa Lissu, maafande wa Magereza walishindwa kuzuia tabasamu kwenye nyuso zao.

Achana na maneno yangu. Picha huongea maneno zaidi ya elfu. Jionee mwenyewe.

View attachment 3634933

Naamini hao maafande kisirisiri wanamkubali sana Lissu.
Huyu "Fara" Anayevaa Barakoa ya CCM Kila Wakati Atakuwa Mchaga Piwa.
 
Sio kwa ubaya, jmn hivi mtu akiwa mahabusu harusiwi kuchana nywele au kunyoa nywele
Baba wa watu mbona Wana mwacha awe hivyo, ........

Mimi sija penda 😳
Bwana jela kaagizwa kuzuia hiyo huduma. Ref. Mahojiano ya yaliyopita.
 
Kuna mambo huwa hayazuiliki. Huwa yanakuja tu au yanatokea tu kiasili.

Mapema leo wakati Mchungaji Msigwa anasalimiana na Mheshimiwa Lissu, maafande wa Magereza walishindwa kuzuia tabasamu kwenye nyuso zao.

Achana na maneno yangu. Picha huongea maneno zaidi ya elfu. Jionee mwenyewe.

View attachment 3634933

Naamini hao maafande kisirisiri wanamkubali sana Lissu.
Hata Majaji wanafurahi Sana Lissu anavyotoa somo pale mahakamani
 
Kuna mambo huwa hayazuiliki. Huwa yanakuja tu au yanatokea tu kiasili.

Mapema leo wakati Mchungaji Msigwa anasalimiana na Mheshimiwa Lissu, maafande wa Magereza walishindwa kuzuia tabasamu kwenye nyuso zao.

Achana na maneno yangu. Picha huongea maneno zaidi ya elfu. Jionee mwenyewe.

View attachment 3634933

Naamini hao maafande kisirisiri wanamkubali sana Lissu.
Why not?! RAIS wetu wa TANGANYIKA MTARAJIWA...
 
Lakini swali muhimu zaidi ambalo hukuliuliza, na wengi itabidi waliulize, huyo "Msigwa" amefikafikaje hapo na kuwa katika hali hiyo.

Hata kaka yake Lissu au Heche na wengine wote hawajawahi kuwa na fursa kama hiyo.
Tafakari sana.
Labda "alitumwa" CCM sasa karudi kuwasilisha ripoti
 
Yaani kila nikiiangalia hiyo picha nabubujikwa na machozi yanayoweza kujaza kisadolin 😭 😭.

Mwili wote unatetemeka utadhani nimepigwa shoti na transfoma ya bwawa la Mtera!
Tatizo la vyombo vya dola ni kufanya vitu wanavyo amriwa huku na wao wakijua moyoni kuwa haviko sawa.
 
Labda "alitumwa" CCM sasa karudi kuwasilisha ripoti
Mimi nasubiri tu kusikia Tundu Lissu katembelewa na rafiki yake 'Msigwa' gerezani Ukonga; na mazungumzo yake hayakusikilizwa na maaskari gereza kama ilivyo bainika kuwa huo ndio utaratibu wa kusikiliza kinachozungumzwa kila anapotemelewa gerezani.
 
Yaani kila nikiiangalia hiyo picha nabubujikwa na machozi yanayoweza kujaza kisadolin 😭 😭.

Mwili wote unatetemeka utadhani nimepigwa shoti na transfoma ya bwawa la Mtera!
Basi yawezekana nawe unaumwa maradhi yenye uhusiano na akili!! Kwanini ububujikwe na machozi kwa sababu ya picha??
 
Back
Top Bottom