nelson15,
Kwanza sikushauri kufanya manunuzi huko yaani Amazon.in or Flipkart hizi Indian-based shopping platforms, ila kwa upande wa Amazon.in unaweza tumia EasybuyAfrica.com hawa wananunua on your behalf, unachotakiwa kufanya ingia kwenye page husika (sio flipkart) copy URL then ingia...
Babarazack,
Seller huchagua njia za kuwatumia parcels wateja wake, wapo wanaotoa option kwa njia zote na kumpa uhuru buyer kuchagua njia ipi nafuu na ya haraka kwake, ila wapo baadhi ambao huwa wameweka njia moja tu with no options mfano; unakuta seller amechagua only DHL/FedEx hizi ni very...
Kiufupi jamaa alienda kazini uchi ama mtupu, watu wapwani tuna desturi ya kurudi kwa wazee kunywa kahawa baada ya kupata ajira au mchongo wa pesa ndefu, unless utafia juu ya kiti cha office!!!
Donnie Charlie,
Uwiano upi unaotaka kumweka Zuchu na JD?. Unaweza sema Zuchu akifanya hiki ama kile anaweza dumu au kupasua kama JD ila sio kumpambanisha ama kumlinganisha. That's why leo Mohamad Ali, Tyson or Mayweather watasemwa kwa ubora ila sio kwa kuwapambanisha. PERIOD!
mkorinto,
That's why nimesema hii battle ingekuwa Tecno 64MP v's Samsung 12MP ningekubali, lakini Samsung v's Samsung "BIG NO", hii simu imekuja na improvement nyingi ikiwemo Camera ingawaje ni midrange phone lakini iko more advanced, hii kitu inafanywa saana na Xiaomi, Realme, Redmi now...
kombaME,
Zwazwa kweli wewe kuna sehemu nimemfananisha Zuchu na JD au unawashwa?, soma comment uielewe sio kudandia juu juu tu. Nimejibu according to post tuliza mshono kama hujaielewa, mimi sio taahira kiasi hicho mpaka nimweke Zuchu na JD league moja!
Donnie Charlie,
That's why kwenye comment yangu hakuna sehemu nimemlinganisha ila kuponda wanaomlinganisha na wasanii waliotangulia. Zuchu atabaki kuwa Zuchu, and JD atabaki kuwa JD. Zuchu anakipaji na anapambana kama msanii kinda na mpya kwenye game kumweka kwenye league na msanii aliyeko more...
Chief-Mkwawa,
Laiti hii M31 ingekuwa imetengenezwa na kampuni tofauti na Samsung basi ningekubaliana na wewe kwa maelezo yako, yaani M31 camera 64MP ambapo kampuni nyingi kuanzia late 2019 zimeanza kutoa simu katika 64MP unataka kuifananisha na ndugu yake S8 with 12MP, ndio tunakubali kuwa...
First Chromebooks are not designed for games means they're not gaming PC (infact Chromebook sio PC). Pia Google stadia zinahitaji a lot of bundles and stable internet maana unacheza games ukiwa online not offline, hivyo stable internet connection inahitajika. Pia Google stadia ina limited № of...
Kwanza pole mkuu ulifanya makosa kuunganisha Vodacom M-Pesa MasterCard maana hakukuwa na umuhimu ungetumia hiyo hiyo M-pesa MasterCard haina shida pia hata refund huwa wanatuma bila tatizo tofauti na PayPal, PayPal ni nzuri lakini hapa kwetu refund huchelewa ama kutoipata ila hii huwakuta wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.