Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,581
- 7,231
Ambao afadhal ni .. Wahaya na Wachaga tu...waliobaki.. wamepindukia... ..tena ni manju khasa!Zanzibar na tanga imezidi aisee
Ambao afadhal ni .. Wahaya na Wachaga tu...waliobaki.. wamepindukia... ..tena ni manju khasa!Zanzibar na tanga imezidi aisee
AiseePole yake ndo changamoto za maisha ya utafutaji hizo, amepata cha kusimulia wajukuu zake enzi za ujana wake
Ni yesu tu angemuaibisha huyo Mpemba mapema tuDawa ya majini inajulikana Mkuu
Hii kaliba huwa haifanyi majaribio ujue.. Ikiamua kupiga inachapa tumshana ebu mtesti huyu bufa alafu alete mrejesho kama hivi vitu havipo tena ungempiga jinsia mbili mbili tu
Sent using Jamii Forums mobile app

Nikibisha nitamuabisha shetaniHuu uzi mshana lazima ataupenda zaidi![]()

Ipi mkuu
Damu ya BWANA imlinde Uko alikoNJOONI KWA YESU MUACHE KUSUMBULIWA NA IBILISI.
Damu ya Yesu inanena mema juu ya waliomwamini Yesu.
JESUS IS LORD!
Damu ya bwana imlinde Uko aliko
Imeisha iyo mkuu. NimerekebishaSio 'bwana', ni 'Bwana/BWANA'. Ukiandika bwana hiyo inayoanza kwa herufi ndogo utakuwa ukimaanisha bwana shamba au bwana jela. Kama unamaanisha Bwama wa mabwana lazima uanze kuandika kwa herufi kubwa.
JESUS IS LORD!
Aanze kuvuta bangi