Naomba Ushauri kuhusu hili la Samsung chomebook pro na Google stadia

Citizen B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
6,798
Reaction score
9,413
Aje wajuvi,

Lately I copped myself a Chromebook pro ile ya Samsung. ina 4gb ram 32 gb sdd na intel core m3 sasa ishu inakuja nataka kucheza games kwanza nataka kujua kama pubg, tekken na magame ya design hiyo yatakubali.

Halafu pia nataka kununua Google stadia ili nicheze yale ya pc. (internet ya dar-moro) Au nitumie zile streaming services kama moonlight kucheza magame online.

Ishu inakuja sijui nichukue option ipi maana hii Chromebook hata sijajua kuitumia yani naiona kama tablet yenye keyboard na sio pc yenye uwezo wa kuwa tablet.

Mwenye ujuzi wa hizi Chromebook aniambie pros and cons za kutumia hii Chromebook.
Au niiuze ninunue tu Pc

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
Mkuu chromebook ni browser tu ni kwa ajili ya watu wenye mambo mepesi, kama umeinunua kwa ajili ya gaming hicho sio kifaa sahihi kwa ajili ya kuchezea games. Unaweza uka sideload android apps ila usitegemee miujiza.
 
Kuside load ndo inakuaje?
Vip magame kma pubg,free fire yanacheza?
Na vp kuhus Google stadia au online game streaming platform zingne?

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
Kuside load ndo inakuaje?
Vip magame kma pubg,free fire yanacheza?
Na vp kuhus Google stadia au online game streaming platform zingne?

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
Mkuu labda kwa voda inaweza kupa ping 100 mpaka 300ms kwa games ila itaku cost hela nyingi kuliko kununua gaming pc in long term maana stadia unastream game. Fiber zetu za kibongo sio reliable sana linapokuja suala la gaming, zina ping ndogo ila zina flactuate sana.

Game kama pubg unacheza ila version za Android.

Na baadhi ya chromebook zina playstore anza na kwenda setting kuna mahala pa kuweka playstore on maelezo zaidi hapa

Install Android apps on your Chromebook - Google Play Help
 
Asante sana mkuu ina playstore lakin tokea niinunue playstore inafunguka fresh tu lakini nikidownload inaandika waiting for download haianzi hata % sijui tatzo nin

Gaming pc gan unashauri kuwa nayo kwa minimum budget.
Kati ya kununua tena gaming pc wakati tayari nina Chromebook Au kununua ps4 kipi ni bora?

kama hutaki stress nunua ps4, ila pc inakuwa nzuri zaidi ila mpaka kuikamilisha kibongo bongo inahitaji uvumilivu kidogo
 
Asante sana mkuu ina playstore lakin tokea niinunue playstore inafunguka fresh tu lakini nikidownload inaandika waiting for download haianzi hata % sijui tatzo nin

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
hata kwa android inaweza tokea hivyo tatizo ni internet, ama kuna pending download ama sometime unahitaji kuclear cache au hata ku update hio chromebook/playstore
 
Yani kuikamilisha una maana gani? Kwamba huwezi kuikuta full package itabidi uanze kuupdate ?
kama hutaki stress nunua ps4, ila pc inakuwa nzuri zaidi ila mpaka kuikamilisha kibongo bongo inahitaji uvumilivu kidogo

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
Yani kuikamilisha una maana gani? Kwamba huwezi kuikuta full package itabidi uanze kuupdate ?

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
full package gaming pc ni 1.5m kupanda, hivyo ps4 inakuwa rahisi zaidi, hizi za kuunga unga unapata hadi laki 5
 
Aje wajuvi,

Lately I copped myself a Chromebook pro ile ya Samsung. ina 4gb ram 32 gb sdd na intel core m3 sasa ishu inakuja nataka kucheza games kwanza nataka kujua kama pubg, tekken na magame ya design hiyo yatakubali.

Halafu pia nataka kununua Google stadia ili nicheze yale ya pc. (internet ya dar-moro) Au nitumie zile streaming services kama moonlight kucheza magame online.

Ishu inakuja sijui nichukue option ipi maana hii Chromebook hata sijajua kuitumia yani naiona kama tablet yenye keyboard na sio pc yenye uwezo wa kuwa tablet.

Mwenye ujuzi wa hizi Chromebook aniambie pros and cons za kutumia hii Chromebook.
Au niiuze ninunue tu Pc

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
Mkuu Kama una plan ya kuiuza hio Chromebook tuongee biashara
 
First Chromebooks are not designed for games means they're not gaming PC (infact Chromebook sio PC). Pia Google stadia zinahitaji a lot of bundles and stable internet maana unacheza games ukiwa online not offline, hivyo stable internet connection inahitajika. Pia Google stadia ina limited № of games maana ni mpya haina games nyingi sana pia inahitaji uwe premium membership ku-access high-end games. Kwa shughuli za kioffice Chromebook inafaa ila sio game, pia kama ni mtu wa games sana basi sikushauri kwenye Google stadia utaboreka tu.
 
Speedtest

Fanya speed tests hapo juu. But for a few reason i think you should consider other options:
  • Minimum required internet speed for Google Stadia is 10mbps
  • The lag will be too high (you need a very low ping to play depending on the game, chini zaidi kama ni fast pased game, e.g call of duty, etc.) typically ping in these areas is higher than 200ms. its not fun.
  • You will use so much data streaming constant HD video and audio. playing at 720p is not fun. 1080p itakula data zaidi. by a few months itatumia data ya kununua PC.
  • Chrome books generally have bad displays and keyboard, they are not made for gamers.
  • If your speed is below 10mbps - which im almost sure itakua hivyo - Google Stadia won't even launch
  • There is only a few free games, you still have to buy games - at full price.
Your options
  1. Nunua ps4.
  2. Nunua PC
  3. Move to another country. XD
 
hivi wakuu chromebook sio pc ? maana kwa mleta mada anaonesha kama kumaanisha ukiwa na chromebook ni kama smartphone
IMG_7357.png

naomba kwa aliyewahi kuitumia ya aina hii anipe taarifa zake
 
hivi wakuu chromebook sio pc ? maana kwa mleta mada anaonesha kama kumaanisha ukiwa na chromebook ni kama smartphone
View attachment 1631570
naomba kwa aliyewahi kuitumia ya aina hii anipe taarifa zake
Chromebook sio pc, pc inatumia Windows ya Microsoft na Mac ni Ya Apple, Computer za Google zinaitwa chromebook.

Yenyewe imetengenezwa kwa watu wanaoperuzi tu online na matumizi machache ndio maana storage ni 16GB.

Sema siku hizi kuna baadhi zinasupport Android hivyo zinakua angalau na matumizi mengi.
 
Back
Top Bottom