Nilitambulishwa Jamiiforuma na staffmate mwenzangu ambae alikuwa muhaya na lawyer kama Maxene Melo,nafikiri hawa walikuwa wanajuana maana toka mwaka 2002 na ndio niliemtumia taarifa zangu akaunti ikafunguliwa.Toka wakati huo sijawahi kujuta kuwafahamu.
Hii ndoa imefanikiwa sana kuliko ndoa zinaendeleza usanii,imeandikwa ikitokea ndoa inavunjika basi iwe kwa amani,sio unakomaa na ndoa ya mateso unasema umefanikiwa.
NILIFANIKIWA KWENDA KUVUNA LAKINI NIMEAMBULIA LITA 30 TU KTK MIZINGA KARIBU 100.NYUKI WAMEKUNYWA ASALI YOTE TULICHELEWA KUVUNA.INAONEKANA KWA URAMBO HIYO NI CHANGAMOTO KWA WAFUGANYUKI WENGI MWAKA HUU.ILITOKEA MABADILIKO YA GHAFLA YA HALI YA HEWA KWA KUWA NA UPEPO MKALI NA BARIDI ILIYOPELEKEA...
Binafsi sioni shida kumchangia aliyeoomba bila kujali itikadi au mitazamo yetu.Kutoa kile ulichonacho ni ibada kama zingine hivyo tusiingilie kwa pupa jambo hili
MREJESHO
Baada ya mwezi Juni kukuta watoto wengi,nikashauriwa nirudi baada ya mwezi mmoja nimekuta mambo yafuatayo;
1.Nyuki wamekula asali kama yote,yaani ktk mizinga zaidi ya 150 tumepata kama lita 40 tu.
2.Nyuki ni wengi sana shambani na almost kila mzinga wameingia.
WAYFORWAD;
-Inoanekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.