Recent content by CHIEF MAN

  1. C

    Udanganyifu unaofanywa kwenye michezo ya kubahatisha na kamari

    Ila mkuu kuna nyingine ni za wazi hata unapokosa unaona kabisa kuwa huna bahati.
  2. C

    Udanganyifu unaofanywa kwenye michezo ya kubahatisha na kamari

    Je na hao wa mitandaoni wanaosema tazama matangazo upate dolla inakuwaje?
  3. C

    Klabu Bingwa Afrika: Yanga 1 - 1 Al Ahly, 9 Aprili 2016

    Kila rakhel kwa yanga
  4. C

    Mwanamke kuwa juu ya mwanaume ni mtindo hatari wakati wa tendo la ndoa

    Kweli ni shiiiidaaaa cjaona athali za dog style.
  5. C

    Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Kweli majanga kwetu sisi wafanyakazi je itakuwaje inamaana mgomo huu mpaka maofisini.
  6. C

    Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

    Wamezoea nae anejihudhuru ili akazitumie kama cvyo arudishe pesa ndo aende.
  7. C

    Noti ya shilingi mia tano kubadilishwa kuwa sarafu

    cjakuxoma mkuu chenchi hazitasumbua kivipi?
  8. C

    Mti wa Ajabu

    Ahsante mkuu hata kwetu ipo.
  9. C

    Vodacom mnanivunjia ndoa

    Ni kweli mkuu upo sawa kabisa lakin inawezekana kabisa hili tatizo halipo kwake ajaribu kuwasiliana na huyo dada kupitia no nyingine amuombe abonyeze hizo no.Ikishndikana hapo watembelee hao jamaa ofsin kwao bila shaka utasaidiwa.
  10. C

    Kilichomuua ‘mtoto wa boksi’ chabainika; wahusika kunyongwa!

    Kweli maombi yanahitajika kwani binadamu tunafanya unyama ambao hata shetani mwenyewe anashangaa.
  11. C

    BAJETI: Serikali kurejesha Kodi ya SimuKadi, walevi kukiona--waanze kujizoesha kunywa maji!

    Je haya ni maisha bora kwa kila mtz au majanga? ila mkuu hongera kwa umeishi upangwani mpaka ukajua kipangwa xafi xana.
  12. C

    BAJETI: Serikali kurejesha Kodi ya SimuKadi, walevi kukiona--waanze kujizoesha kunywa maji!

    Inawezekana najua ikiwa juu sana haizidi buku jero per liter kwa hiyo ni bora kuhamia hko.
  13. C

    Foleni Dar es Salaam

    Mkuu kweli kama hali yenyewe ndio hii basi ktk jiji letu nusu ni watu na nusu nimajini bila shaka maombi yanahitajika tena sana.
  14. C

    BAJETI: Serikali kurejesha Kodi ya SimuKadi, walevi kukiona--waanze kujizoesha kunywa maji!

    Mkuu inabidi ukubali matokeo kwani wanzuki nao nadhani ndo watapandisha kwa 100% kwani nao Maproducer wa wanzuki hufuata upepo.
Back
Top Bottom