Mti wa Ajabu

Mti wa Ajabu

Huu mti naujua long tyme sana.......upo......lakini ningekuwa mimi wewe.......ningeupandia huko huko niuchungulie nijue ni nini......
 
Miti aina ya Abizzia maranguensis, A. lebeck , A. gummifera and othe spp huvamiwa na wadudu aina ya aphids ambao huvyonza au kutoboa matawi yake na kusababisha maji ya ziada kutoka na kudondoka hasa wakati wa masika.

Inawezekana ni natural way of trees to react/ to counter injury or attach by insects.

Ni jambo la kawaida maeneo ya milimani kama Iringa, Mbeya Arusha na Kilimanjaro,Pure science.
 
Ahsante mkuu hata kwetu ipo.
 
Back
Top Bottom