Recent content by Chief Majinge heritage

  1. Chief Majinge heritage

    Mwanaume siku ukimjua Mwanamke

    Hoja makini na mifano kuntu
  2. Chief Majinge heritage

    Ukiijua Siri hii ya 'Panya' ni lazima tutoboe Maisha. Panya hakimbii changamoto

    Ukiishi kama panya utakufa vibaya sana# binadamu kiumbe hatari linapofika kwenye ridhiki/manufaa haijalishi iwe kifamilia,kiukoo,kibiashara,ama kikazi.
  3. Chief Majinge heritage

    Mwanamke anayekupenda kweli

    Wanawake tunashindwa kuwaelewa maana unaweza mpatia 100k then nikapata shida ghafla ya 2k nikakuomba,et unanuna na inakuuma kutoa angali chanzo cha kuipata hiyo100k ni mm # kweli tuishi na wanawake kwa akili
  4. Chief Majinge heritage

    Mahusiano katika family - Ugeni wa Ndugu

    Wanawake wengi ni wabinafsi kiasili# wanataka usawa lakini hawapo sawasawa
  5. Chief Majinge heritage

    Mwanamke anayekupenda kweli

    Tuma na kutolea kabisa ili itoke yote ni kauli yenye uhalisia kuwa una mpenzi/mtu tegemezi kwako# kimbia na kaa nae mbali mita mia
  6. Chief Majinge heritage

    Hela ya kuomba unanipelekesha utafikiri unanidai

    Haya mahusiano ya sasa, ukilemaa unakuwa mtumwa na mjakazi wa mtoto mtu# love not for granted
  7. Chief Majinge heritage

    Hela ya kuomba unanipelekesha utafikiri unanidai

    Japokuwa mapenzi kitovu cha uzembe..lakini uhusiano wa kubebeshana mzigo daima siutaki na naupga vita kwa hali na mali katika yangu na kizazi changu
  8. Chief Majinge heritage

    Kulinda ajira yako fanya yafuatayo

    Huo utakuwa ni udhaifu aliokusoma toka unaanza kibarua lakn kwetu boss anajua fika huyu chief anafanya wajibu wake makini na anataka haki zake makini vilevile
  9. Chief Majinge heritage

    Kulinda ajira yako fanya yafuatayo

    Nishamzengua siku moja na sikutaka kuwa mnyonge mbele yake lakn mwisho wa Siku amenijengea mazingira ya kuwa lafiki yake kinoma kikazi na kitaa# kataa unyonge wa kijinga km unaamn upo kwenye haki
  10. Chief Majinge heritage

    Kulinda ajira yako fanya yafuatayo

    huo ni utumwa wa akili na nafsi yamkini uongo huwa ni uongo tu hata kama kila mtu anaushabikia pia ukwel ni ukweli tu hata kama kila MTU anaupinga
  11. Chief Majinge heritage

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Punguzeni mada kisodoma ili tuende mbinguni aseee# Wanafunzi/wakusoma mnatujazia saver na mada za ajabu& aibu mbele ya babazenu/mamazenu
  12. Chief Majinge heritage

    Una aina ipi ya hasira kati ya hizi?

    Aseee mm hukaa kimya tu then naweka nyimbo zangu za kirasta/ reggae tu
  13. Chief Majinge heritage

    Ni haibu kuwa na mchepuko usio na hadhi zaidi ya mpenzio

    Ni kweli kabisa kama mkeo harrier old model basi jitahidi uadvance hata kwa harrier matako ya nyani( new model) Heshima mlima asee na ilivyobinuka nyuma ni full heshima
  14. Chief Majinge heritage

    Nyie Wachaga hii ni sifa sasa

    Wanawezana wao kwa wao maana wanawake wa kichaga ni wajeuri hatari...ila kwa mkurya wanakaa maana mkurya ni katili
Back
Top Bottom