Hela ya kuomba unanipelekesha utafikiri unanidai

Mkuu mbona kama wamzungumzia x wangu ..yaani alikua hivo hivo aisee..analalamikaa utazan kanikopesha .akidaiwa hata ela mchezo lawama kwangu kama mm ndio nimemwambia acheze..luku ikiisha naulizwa atalala vipi bila umeme mpaka analia. Mwisho niliona anamatatizo ya kisaikolojia maana ilikua too much
...Ndio huwa Wanaishia kuendewa Kwa Mpalange hawa !!!
Too Much!
 
K siku hizi ni ajira. Hujasikia usemi kwamba "hapa mjini msingi ni kiuno??"
 
Back
Top Bottom