nimeangalia toka mwanzo hadi mwisho sijamuelewa msimamo wake au madai yake ni nini au anatushauri tufanyeje uchaguzi huu ila upande wa lowasa huko ndio ameponda sana kuwa hafai sasa hapo ndio nashindwa kuelewa kuwa tatizo ni lowasa ama wanaugomvi wao bado sijaelewa kbsa mimi.
Mimi nilishangaa wiki moja nyuma nilitwa na mzee mmoja kwake akaniomba nimtolee Chanel ya TBC kwenye kin'gamuzi chake cha azam kwa kweli nilishangaa sana kama watanzania wamefika hapo kazi IPO kwa kweli maana Mimi nilishindwa kuifuta TBC kwenye azam na sijajua unaifutaje.
hivi hata hao wachungaji wa hilo kanisa hawasomi biblia au hata kujua haki ya mke kwa mumewe utadhani umewaolea wachungaji bwana hapo kuna vitu viwili sana akijirekebisha atapunguza ratiba za kanisani still bado kuna tatizo upande wa wazazi bado watakuendesha tu inshort hapo hakuna ndoa piga...
naweza amini mkuu kuwa ni kweli watu wa maeneo ya daresalaam ni shida yni kila likizo nikienda dsm ni lazima waniulize vp huko musoma naona mnajitahidi sana kulinda kura zenu komaeni lakini cha ajabu wao hawana ujasiri huo wakufanya maamuzi sahihi kumbe shida ni joto leo ndio nimejua
sasa mtu amechukua mtoto wake atamlea mwenyewe tatizo nini mbona mimi wakwe zangu wamemnyan'ganya mwanamke watoto niwalee mimi kuliko mama yao kutokana na tabia zake au ndio kusema na mimi mwanamke aende mahakamani?
mimi naona kuna watu bado akili zao wameshikiwa na wengine mtu yeyote mwenye akili timamu huwezi kutegemea lowasa ati aje aongoze tanzania kwanza afya yake haimruhusu kabisa yangu macho tutajionea wenyewe
piga chini haraka sana huyo mwanamke hafai kabisa yani unatembea kwa miguu na gari ipo na wala hakuonei huruma wakati alitakiwa akuliwaze mkuu mimi nilishapona kidonda cha usaliti ikibidi hama kabisa hapo watoto watakuja tu wenyewe
uko sawa mkuu wanawake sio kabisa hivi alikuona wewe wa kijijini nini tena huyo angekua huku kwetu musoma ni panga tu anadhani hela zinaokotwa eti nina boy friend from usa mwambie aache mazarau mambo gani hayo aghhh.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.