Ushuhuda: Aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon

Ushuhuda: Aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon

Ni katili kwa kuwasaliti wote lkn muarabu kamuachia donda kubwa zaidi.Not enough akamuhusisha mchumbaake kwenye all his mess.Una uhakika gani ka keshalipa?watu mna matatizo kweli!!kuna mtoto kamtekeleza hamhudumii unaona ni sawa??

Kwanini unafikiri hajalipa? Kipimo cha adhabu anayetoa ni Mungu yeye ni hakimu si gorgeouswewe au Kaunga. Duh sioni kama nina matatizo, maana kama kuzalishwa hata nami nilizalishwa lkn nilivyopata mimba bila ndoa nilijua ni responsibility yangu with or without msaada wa baba wa mtoto. I have nevet bitter.
Nilifikiri mwarabu mwenye dini yake anavuna akichopanda kwa kushiriki zinaa bila ndoa. But again nafikiri dini yake ni ushirikina ndio maana 'akamroga'
 
Ha ha ha lol umenichekesha kweli asubuhi hii anyway sitaki kubishania udini kwa sabababu naona unaleta kashfa.Huyo hajarogwa kuna kitu kinaitwa karma.Bado hatimizi wajibu wake so kuna kitu still anakosea!Wote wamekosea kuzini lkn fikiria kuna mtoto(malaika)anayeadhibika bila hiyana yake kwaajili ya chaguo lake.Hata kama kaachana na muarabu asitekeleze damu yake.
 
Ha ha ha "WHAT GOES AROUND COMES AROUND" you cant just hurt an innocent soul and get away with it?can you?

Mbona ume-base kwa Mwarabu wakati nae alitumia mbinu za kijanja kujihalalisha kwa mshikaji? Ni kama alimteka!!! Akazaa kabisa ili aolewe huoni nae ana makosa! Mbona huoni huruma kwa huyu walieanza uhusiano long time na ahadi za kuoana? Sisemi jamaa hana kosa! Ila tuwe fair.
 
Wote walikosea kutokutumia kinga werrason hilo jukumu lao wote na sioni kama kuna ujanja ulotumika hapo...angekuwa hamtaki huyo mwanamke asingemuweka kinyumba wale,wakiamka na kunywa ka bibi na bwana.Wallah namuonea huruma hata huyo mdada mwengine lkn kuna choices ambazo angeweza kuchukua na kuepuka kuwasababishia maumivu wengi.Mkuu unaona maumivu ya kutekelezwa na mtoto ni sawa na ya kuahidiwa ndoa?huyo aloahidiwa ndoa angeliweza kupata mume mwengine akaolewa btw ukiangalia with logic aloachiwa mtoto ndo keshaachiwa dosari for the rest of her life.
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli, ila huyo dada kama alimtegea jamaa mimba ili aolewe hiyo ndio consequence yake! Na jamaa anapaswa either kumtunza mwanae au kumchukua maana ni damu yake. Huyo Mwarabu hakualikwa kuhamia!! Alihamia kijanja na hapo ndipo kosa lake lilipo then kubeba mimba!!!
 
Angelikuwa hamtaki hapo kwake angemfukuza tu pasingeharibika kitu na patashika lilotokea lingekwepeka kwasababu alikuwa na faham zake yeye mwenyewe kasema mwanamke akihamia kijanja akamuacha afanye atakalo,lkn yalotokea ndo yameshatokea.Kosa la mimba ni la wote mimi simuelemei mwanamke hata huyo jamaa alikuwa hajui anafanya nn?The guy needs to be responsible pamoja na yote yalotokea hajajifunza kitu??
 
Mimi cha msingi dudu lisimame hata kama liko usoni
Nasikia kuna waziri mmoja simtaji jina miaka ya themanini DUDU iliwekwa utosini baada ya kuwa anachafua watoto wa watu wa shule!!!!
 
Angelikuwa hamtaki hapo kwake angemfukuza tu pasingeharibika kitu na patashika lilotokea lingekwepeka kwasababu alikuwa na faham zake yeye mwenyewe kasema mwanamke akihamia kijanja akamuacha afanye atakalo,lkn yalotokea ndo yameshatokea.Kosa la mimba ni la wote mimi simuelemei mwanamke hata huyo jamaa alikuwa hajui anafanya nn?The guy needs to be responsible pamoja na yote yalotokea hajajifunza kitu??
Dada tembea uone. Siku ukifika Tabora na ukayajua ya huko hutamlaumu huyu kaka. Sisi ni waafrika na tuna utamaduni wetu. Kuukana ni kujikana "dawa kwenye mapenzi zipo".
 
Wakuu habari,

Nimekua mfuatiliaji wa jf kama visitor tu kwa mwaka mzima, wiki iliyopita nilijiunga rasmi ili niweze ku share na nyinyi mkasa huu ulionipata wakati nahangaika na ujana.

Nilipomaliza chuo moja kwa moja mama wa msichana wangu alinishika mkono nikapata kazi benki ya walala hoi katika moja ya wilaya za mkoa wa Tabora yeye alikua bosi huko kwa mda mrefu.Mwanae pia alimwingiza benki hiyo hiyo ila alipelekwa wilaya nyingine mikoa ya kaskazini huyu binti nilianza nae uhusiano tukiwa form six,

Tukaenda chuo kimoja na baada ya chuo tukapata kazi shirika moja ambayo tulitafutiwa na mama yake ila wilaya tofauti ahadi yetu ilikua ni kuoana.Time frame ni miaka mitatu ya kazi tuwe tumefunga ndoa nilipofika kwenye kituo changu cha kazi wilayani nikakutana na staff wenzangu vijana waliokua wakiishi kama miungu watu pale wilayani walichukua kila msichana wanaemtaka kwa mgongo wa benki maana iliheshimika sana.

Nami nikajiingiza kwenye life hilo katika harakati hizo nikapata binti chotara Wa kiarabu maana wilaya ile ina idadi kubwa sana ya waarabu kutokana na sababu za kihistoria. Akawa anahamisha nguo moja baada ya
nyingine kuleta kwangu hadi akahamia kabisa tukawa tunapika na kupakua hadi akabeba mimba yangu Wakati wote huo mchumba wangu wa siku zote hakua anajua kama mm naishi na Mwarabu kwangu
Kila akitaka kunitembelea mm namuwahi nasafiri naenda mimi.

Mtoto akazaliwa maisha yakaendelea, mwaka Wa tatu tangu nianze kazi na mtoto akiwa na miaka miwili kasoro. Mchumba wangu a NMB akanibana tufunge ndoa nami nikawa sina ujanja nikakubali familia zetu zikaanza maandalizi Dar es salaam ikiwa ni vikao na maandalizi mengine. Nilikua nawaza nitatumia mbinu gani kumuacha Muarabu maana hata yeye alishanibana kuhusu kufunga ndoa ya kiislam na nilimuahidi nitabadili dini kutokana na kuchanganyikiwa na penzi lake maana alikua na vitu vizito mno kwa bed.

Na mapishi hadi sasa sijaona mwingine anaeyafikia wiki mbili kabla ya harusi yangu dar wambea kazini kwangu wakamwambia Mwarabu kuwa hivi karibuni mshkaji anafunga ndoa Mwarabu akaniuliza kuhusu taarifa zile ikabidi nikubali kuwa ni kweli. Kesho yake mama yake akaniita akaniambia kama nitafunga ndoa na mwanamke mwingine basi yatakayonipata nisilaumu Kwamba nimemtumia mtoto wao na kumzalisha kisha nimwache hawatakubali

Kutokana na tension ya sakata hilo na mawazo na ili kukwepa bibi harusi mtarajiwa hasiyafahamu ya Mwarabu nikaamua ku resign on 24 hrs notes. Nikajisemea moyoni liwalo na liwe kazi nitatafuta nyingine
Nikapaki nguo zangu tayari kwa safari kesho yake.Siku ya safari asubuhi nikapaki vitu kwenye gari yangu ndogo nikamwambia Mwarabu mi naondoka alilia sana na kuniangukia miguuni nikamwambia nakuachia thamani zote za ndani nikaondoka kurudi Dar.

Kiukweli pamoja na mazuri yote ya Mwarabu na uzuri aliokua nao alikosa kigezo kimoja muhimu niliitaji kuoa mwanamke mfanya kazi, msomi mwenye future na sio mama wa nyumbani mwenye kusubiri nimletee kila kitu mfano hadi hapo Mwarabu alikua ameshaniingiza gharama kubwa sana kutokana na matumizi makubwa aliyokua nayo na familia take.

Ilifika pahala nakosa hata akiba kila pesa nikipata naleta nyumbani yalikua yamenifika shingoni kwa kweli
Siku ya harusi ndoa ikafungwa ikafuatiwa na sherehe kubwa. Usiku hotelini uume ukakataa kusimama mke wangu alinifanyia romance zote lakini wapi tukalala hivyo hivyo

Hali iliendelea hivyo kwa miezi mitatu.Nikamuona mtaalam mmoja wa kienyeji akapiga ramli akaniambia kuna Mwarabu ulikua unaishi nae ndoa kafanya hivi,Akanipa dawa bado haikusaidia kitu
Nilifikisha waganga 12 bila mafanikio.Mke wangu akaniuliza hii yote maana yake nini ikabidi nimweleze ukweli wote Wa Mwarabu

Alilia sana akasema kumbe kipindi chote hiki sikua mwaminifu na nimezaa nje yeye basi ndoa imekwisha
Hakujali muda wote tuliokaa kwenye uhusiano akatengana nami.Wakati huo tayari alishahamishwa tunaishj Dar akaamua kurudi kwao.Tulisuluhishwa bila mafanikio

Nikampigia Mwarabu akawa hapokei simu na akabadili line kabisa. Mwaka ukakatika hali ni ile ile
Mke wangu akanionea huruma akaja akaniambia ameelekezwa mtaalam mmoja Moro vijijini twende tumuone maana kujaribu sio vibaya.Tukasafiri hadi huko tukakuta ni mtu fukara na nyumba mbovu inayokaribia kuanguka hadi nikawa na hofu kama tutasaidiwa

Tukalala hapo asubuhi saa kumi alfajiri akanipeleka milimani tukiwa huko kwenye kichaka akawa anazungumza Maneno ya kiarabu akiwa na kitabu karibu masaa mawili.TukarudiAkanipa dawa za kunywa nikaharisha na kutapika irizi mbili nyeusi nikawa hoi sina nguvu kabisa wife aliogopa akamwambia jamaa wañipeleke hospital nisije nikafa pale jamaa akakataa

Tukarudi bila mafanikio wife akañipeleka kanisa moja hivi kwa miezi mitatu bado haikusaidia.Tukaacha kwenda kokote kule nikaendelea tu mambo mengine ya maisha.Hadi siku moja wife akaanza kunichezea mwili mzima maana hakukata tamaa alikua akinijaribisha kila mara.

Kitu kikainuka kwa hasira hakuamini akadandia haraka,tulilia sana kama watoto tatizo likawa limeishaHata sasa sielewi kilichoniponya maana tulijaribu kila kitu.Sijawahi kumtafuta tena Mwarabu kwa hofu
Nilisamehe na mtoto maxima. Sasa nina watoto wawili namheshimu sana huyu mwanamke ameshinda mitihani yote.

Ni mkasa wa kweli ulionipata mimi mwenyewe nime share na nyinyi kama fundisho

huwa nikiwasikia watu kama nyie mnaoamini uchawi huwa nawasikitikia saaaana!!! tena kijana, msomi wa karne hiii..eti "nilirogwa"!!!!!
 
Mkuu umenikumbusha magari ya kusukuma so iliposimama akapanda haraka ha ha ha ha
 
Kwanini unafikiri hajalipa? Kipimo cha adhabu anayetoa ni Mungu yeye ni hakimu si gorgeouswewe au Kaunga. Duh sioni kama nina matatizo, maana kama kuzalishwa hata nami nilizalishwa lkn nilivyopata mimba bila ndoa nilijua ni responsibility yangu with or without msaada wa baba wa mtoto. I have nevet bitter.
Nilifikiri mwarabu mwenye dini yake anavuna akichopanda kwa kushiriki zinaa bila ndoa. But again nafikiri dini yake ni ushirikina ndio maana 'akamroga'

pamoja na kwamba siamini uchawi lakini kwa nini ma mkwe alimtishia kuwa asipomuoa binti yake atakiona? jamaa ana haki ya kutokuwa na mawasiliano na familia ya mwarabu...mtoto akikua wataungana na baba tu iwe isiwe
 
Ana uhakika gani kama kamfanya impotent mkuu?alimdhuru physically coz usiniletee dhana mimi siamini ushirikina!!Kama una physical evidence mdada amemfanya awe impotence ntakuelewa.It could be his own consious was eating him slowly!!He is the one who impregnated someone and left his own child fatherless so as to be with a woman who has a job and history with.He used the poor woman and ditched her probably destroyed her whole future.I cant even imagine how selfish a person can be!

where is destroying her whole future coming from? because he put her in a family way? that can hardly be called destroying a gal's future...I am with you on one point, she didnt make him impotent..but what the mother said also should be counted..alimtishia ataona..that could contribute to his fear leading to his failure to consumate his marriage..want me to prove that scientifically?
 
Ha ha ha "WHAT GOES AROUND COMES AROUND" you cant just hurt an innocent soul and get away with it?can you?

God doest not view things this way..otherwise the world would have been a continuous suffering place to everyone..I repeat everyone..we all wrong other people..dont you agree?and words like "atonemet" "forgiveness" "remorse" "God's grace" etc would have been meaningless! and dont say an innocent soul...she is as much an adulterer as him!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom