Mke wangu amekiri kunisaliti

Mke wangu amekiri kunisaliti

Michepuko ni balaa, lakini ni kwa nini mwanamke akichepuka inaonekana ngumu kwa mme kusamehe na kusahau.

Wanaume wangapi wanachepuka na wake zao wanasamehe!!! Tena mnachepuka mpaka mnaleta watoto, na bado mke anakupokea. Ndiyo tunatofautiana, cha msingi Msamehe mkeo, mpende mkeo mwishi mlee mtoto wenu, uzuri mkeo amekiri na kukuomba msamaa. Mtoto akinyea mkono hatukatiii.

Jiulize kama mme ndo angechepuka. Fikilieni kuhusu watoto wenu, kosa lishatokea, kutengana kwenu ndo mnazidisha dhambi na mateso kwa familia. Ni bora mkayaweka sawa sasa kuliko kutengana. Zaliweni upya, sahau yaliyopita, mchukue mkeo mwende sehemu mkakae wawili tu kwa muda hata wa wiki moja, mzungumze, na muanze maisha mapya.

Nawaombea, mwenyezi Mungu awafunulie upendo ndani ya fumbo hili, msameheane, mkae mlee familia.
 
Na siunajua wake za watu tunavyowabinuaga?
 
Mwadada84

Mi Sio Mke tu, Hata angekua mchumba ningemfanyia kitu angefurahi na Roho, aumie kama nilivyoumia mimi
 
Last edited by a moderator:
ndugu kwanza pole sana.......wanawake weng ndivyo walivyo tena weng wao wanapokaa mbali na waume zao hufany sana huo ujinga. na ndio maana siye wengne tuliona ni bora kuoa wale ambao tutakuwa nao pamoja hata ukihama unahama nae atleast hupunguza hiyo kasi ya uchepukaji. ila wanawake weng wanaoishi mbali na waume zao weng sana huchepuka iwe ni tamaa au tabia weng wao wanaachia tunda tu......na maofcn ndo usiseme wanapgwa hatar. cha msingi ni kuvumilia tu na kuomba mungu kwakuwa ushafunga nae pingu za maisha ila kuchepuka huyo kama kawa, tena awamu hii anaweza akaja nao kabisa huo ugonjwa au ujawepes wa wenzio. daaah pole kaka
 
Oooi hilo dogo hivyo embu kazana kutunza familia na kupenda mkeo na wanao.
Hivi wewe ni mtakatifu sana hujawahi kufanya kosa lolote?
 
Ngoja nikufafanulie nioa mwaka 2010....mtoto akazaliwa 16.3.2011....mwaka jana mwezi wa tatu akaanza masomo chuo cha wanyama pori kwa short course ya miezi 3 ada yake ni mil 1.9 akahitimu mwezi wa 6 2014...then mwezi wa 8 akaanza kozi ya mwaka mmoja na amemaliza mwezi wa 6.....ilifupishwa kutokana na uamuzi wa chuo.......ingia www.ajira.go.tz....tazama nafasi za kazi zimetoka tarehe 9 ya mwezi huu.......nidanganye ili iweje.....ninastress hata muda wa kudanganya sina

Kuwa mvumilivu Bro,jf kuna watu sampuli 150, fanya subira kwa yaliyokupata,ni suala la muda tu,iko siku utasahau na mtakuwa na furaha.
 
amini usiamini ndugu yangu hyo kitu itakujakujirudia hawa wake zetu wanaoenda chuo sio kabisa mimi mwenzio niliachana naye kabisa
 
Pia ngoja aende kazn polin utalia uchoke,jamaa zinachepuka huko balaa JAMAA YUKO LAZ AHONGE Milion
 
Michepuko ni balaa, lakini ni kwa nini mwanamke akichepuka inaonekana ngumu kwa mme kusamehe na kusahau.

Wanaume wangapi wanachepuka na wake zao wanasamehe!!! Tena mnachepuka mpaka mnaleta watoto, na bado mke anakupokea. Ndiyo tunatofautiana, cha msingi Msamehe mkeo, mpende mkeo mwishi mlee mtoto wenu, uzuri mkeo amekiri na kukuomba msamaa. Mtoto akinyea mkono hatukatiii.

Jiulize kama mme ndo angechepuka. Fikilieni kuhusu watoto wenu, kosa lishatokea, kutengana kwenu ndo mnazidisha dhambi na mateso kwa familia. Ni bora mkayaweka sawa sasa kuliko kutengana. Zaliweni upya, sahau yaliyopita, mchukue mkeo mwende sehemu mkakae wawili tu kwa muda hata wa wiki moja, mzungumze, na muanze maisha mapya.

Nawaombea, mwenyezi Mungu awafunulie upendo ndani ya fumbo hili, msameheane, mkae mlee familia.

kiukweli nimejikuta mpaka nalia wanawake tunaonewa kabisa janaume likienda kusoma wengine wanachepuka kiasi kwamba mpaka anasahau ndoa na anachumbia upya huko chuo lakin mwanamke anasemehe iweje huyu asisameheme apige moyo konde maisha yaendelee
 
acha kutafuta huruma kwaajili ya tetesi ww....
Hayo unayoyaongea yamekutokea ww?
Au unaongea kwasababu wengi wanayaongea
 
Mwadada84

Kama umeamua kumsamehe samehe,basi close the chapter pokea huzuni kama furaha so usitafute ushauri wa kutaka tena cha kufanya
 
Last edited by a moderator:
Ndoa ni ya watu mbili....nyie wawili ndo mnaweza kulimaliza.. mshukuru Mungu mna mtoto...hiyo ndo zawadi aliyokupa....amekiri mwenyewe amechepuka x 3!!!! na gono amekuletea....duh.... sitaki kuamini kama bado mnaishi pamoja....je unaaminije kama bado anaendelea?? kuna alama inayoonyesha??? Ushamsomesha, amekupa mtoto...... mpe tiketi ya kuachana......hakuna ndoq isiyovunjika......atakuletea UKIMWI muache mtoto yatima.... na wewe ndie wa kulaumiwa....pole sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom