Lowassa kioo tuelekeacho

Lowassa kioo tuelekeacho

Hivi wewe una akili kweli?
naongelea ile akili ya kuzaliwa tuu, achana na ya shule au inayotokana na mazingira!!
Haiwezekani ukawa nunda kiasi hiki. Unawaangusha sana wanaokutegemea.
Nakuomba ndugu yangu ujitathmini.

Kweli insanity ni kitu cha kurithi

Wewe akili tu hata kutambua huyu ni kuku na huyu ni mende huna

Negativity zako kuhusu LOWASSA sio watanzania wote wanazo na wala hazimnyimi LOWASSA kuwaongoza watanzania wanaomhitaji kupiga kiasi.

E.L THE COMING PRESIDENT
 
Lowasa ndiye Rais ajaye,hizo mzisemazo ni fitina zenu za kisiasa,raia ndo wanajua nani anawafaa kwa sasa,ndo maana wanamkubali na ata anapokwenda uwa wanakuja kumsapot,mtasubili saaaanaaa
 
Kutegemea kumpata kondoo kutoka kwenye uzao wa ukoo wa fisi ni kujitakia maradhi ya moyo siku zijazo.
THEY SAY THERE IS HOPE FOR A BETTER TOMORROW, BUT WE FORGET THAT TODAY WAS YESTERDAY'S TOMORROW
 
Lowassa jizi kubwa. Mteteeni weeeeee lakini asubuhi na mapemaaaaa anatupiliwa mbali na Rais ajaye anampeleka kwenye hoteli ya nyota tano Segerea au keko. Mwizi mkubwa huyo

Alimuiba nani yako mkuu? tuoneshe picha ulizonazo kama ushahidi ili tuamini.
 
Ukiangalia nchi yetu jinsi ilivyo na changamoto tulizonazo kuhisiana na ustawi na wa Taifa letu vi vema tukawa na kiongozi mwenye hulka ya maamuzi magumu sana zaidi awe mchapakazi hodari wa kupigiwa mfano hata record yako iwe inamshuhudia hivyo,Kati ya wote waliotangaza nia mtu ambaye watanzania wameonyesha kuwa anaweza kubeba jukumu hilo si mwingine bali Edward Lowassa,Huyu ni mchapakazi anayejipambanua kwa namna yake na kizuri ni ambaye anaamini sana kile ambacho anakisimamia pasi na mashaka yoyote ile.CCM inatakiwa iwatendee watanzania haki yao ya msingi kwa yule ambaye tumeona anaweza kutuvusha ng'ambo ya maendeleo na zaidi wazingatie ushauri wa mwenyekiti wao JK kuwa wasifikiri kwamba eti mgombea akichaguliwa na CCM basi amepita zama hizo zimeshapita kitambo sana na wananchi sasa wanaelewa vilivyo kwani wanaopiga kura wanafika zaidi ya watu million 19 au 20 kama wote wakijiandikisha na kupiga kura.Tafakari

Usiwasemee Watanzania jisemee wewe!!!
Ogopa sana maoni hayo
 
mimi naona kuna watu bado akili zao wameshikiwa na wengine mtu yeyote mwenye akili timamu huwezi kutegemea lowasa ati aje aongoze tanzania kwanza afya yake haimruhusu kabisa yangu macho tutajionea wenyewe
 
Tumaini la watanzania wengi n lowassa,hakuna zaid yake ata tukiangalia mapokez yake mikoa mbalimbal watu wanamuamin sana aiseee
 
Akili yako finyu ndipo ilipoishia ndiyo matatizo ya kukimbia umande hata vitu vilivyo wazi kabisa huwezi kuvielewa. Katafute hotuba ya Mwalimu kuhusu mgombea anayeutafuta Urais kwa nguvu ya pesa labda wewe mbumbumbu unaweza kuelewa nilichoandika.

Tuondolee umasaburi wako hapa, umelishwa hela za Ghadafi unmekuwa tahira, nenda chalinze kalambe masaburi ya Prince
 
Kishapigwa chini siku nyingi huyu, tumechoshwa na akina MULUGO kuingia Ikulu na kuigeuza danguro la mafisadi na wapokea rushwa eti "Tanzania ilipata uhuru miaka 58 iliyopita" kwi kwi kwi mwambieni akagombee Urais wa Monduli.

Dua La kuku halimpati mwewe na tuhuma za kipuuzi zisitunyime kiongozi bora 2015

Tafakari chukua hatua

LOWASSA THE COMING PRESIDENT OF TANZANIA
 
Alimuiba nani yako mkuu? tuoneshe picha ulizonazo kama ushahidi ili tuamini.

Kama picha za wizi hazipo au hazijawekwa, kwa hiyo siyo mwizi?! Sina muda sana wa kujibizana. Tusubiri NEC na CC wamalize kazi. Mnaitaka Ikulu kwa nguvu ya kila aina lakini mtaambulia patupu
 
Unaandika huna hoja inayojitosheleza vya kutosha zaidi sana naona ni wale wanafuata upepo tu bila kujua cha kuandika mie na hoja nahichi nacho andika ni mtazamo wa watanzania walio wengi ndo wanamhitaji Lowassa hata kama una uelewa mdogo pita mikoa yote na uliza kwa watu wa rika zote na zaidi unalijua hili ila basi tu unajibaraguza tu na kujifanya hamnazo
 
Hivi kama lowasa aliiba kwa nini akupelekwa mahakamani,yeye yupo juu ya sheria?Lowasa is our coming president,wananchi tunamkubali,viivaaa Lowasa viiivaaa
 
Watanzania wanajua kuwa awamu hii ni ya mchaka mchaka wa maendeleo na atakayefaniksha hayo yote ni Edward Ngoyai Lowasa
 
Sifa kuu ya Edward cyo mtu wa maneno maneno .. Edward ni vitendo kwa sana
 
Lowassa ni fisadi asiyestahili kuliongoza Taifa letu, huyu mtu anayetaka kuhonga mabilioni ya pesa za kifisadi ili aingie Ikulu ni wa kuogopa kama ukoma.


Inashtua sana kijana kama wewe kutoa maneno kama hayo, natumaini wote wanaongia JF wameenda shule. Uwezi kumshambulia mtu bila proof. Kubwabwaja maneno waachie waimba taarab, weka facts. Hii ndio safari ya matumaini.
 
Unatumia muda mwingi kuongea au kuandika lakini huna hoja ya msingi mie nimeandika lowassa kioo tuelekeacho kwa maana nimefanya utafiti nchi nzima watu wote pasipo itikadi ya vyama wanamhitaji sana Lowassa hata wewe unalijua hilo ila unajibaraguza tu kujifanya hamnazo
 
Kama picha za wizi hazipo au hazijawekwa, kwa hiyo siyo mwizi?! Sina muda sana wa kujibizana. Tusubiri NEC na CC wamalize kazi. Mnaitaka Ikulu kwa nguvu ya kila aina lakini mtaambulia patupu

Mie nilijua umemfumania na picha za fumanizi unazo ili tujilidhishe kumbe maneno matupu? au nilielewa vibaya alikuiba wewe mwenyewe? subiri ujifungue tu tutapima DNA kwa sasa unahitaji ndimu urambe.
 
Acha uzezeta wewe tuliza akili badala ya kupayuka kama mwendawazimu. Hukuona wala kusikia mabilioni aliyokuwa anagawa nyumba za ibada? Alipoulizwa pesa zile katoa wapi akadai ni za marafiki zake alipotakiwa atoe list ya hao rafiki zake waliomchangia pesa na kiasi alichochanga kila mmoja akashindwa kufanya hivyo. Hakupigwa stop na MACCM huyu kuhusu kugawa rushwa nyumba za ibada!? Tafakari kwa kina.

Inashtua sana kijana kama wewe kutoa maneno kama hayo, natumaini wote wanaongia JF wameenda shule. Uwezi kumshambulia mtu bila proof. Kubwabwaja maneno waachie waimba taarab, weka facts. Hii ndio safari ya matumaini.
 
Back
Top Bottom