Recent content by chidide

  1. C

    Kichwa kinauma, eti kibuku imelipa kodi kubwa zaidi ya Barrick!!!

    Tafakari:Ni ajabu Chibuku kuizidi dhahabu katika ulipaji kodi Tanzania! Saturday, 03 September 2011 18:54 Na Julius Samwel Magodi WASWAHILI wanasema zubaa uliwe. Hilo ndilo linalotokea katika nchi yetu Tanzania kwa sasa. Sikushangaa baada ya msomaji wangu mmoja wiki hii kuniandikia...
  2. C

    Nimefarijika sana na site hii, naomba ushauri wa mazao ya muda mfupi Fukayosi!

    Thanx, na mimi nimesikia habari za mbaazi but sina details zake, nakutegemea uzimwage hapa!!
  3. C

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    What about fukayosi mkuu? Mhogo unaota?
  4. C

    Nimefarijika sana na site hii, naomba ushauri wa mazao ya muda mfupi Fukayosi!

    una details za ufuta? Au unaweza kufahamu wapi nitapata details?
  5. C

    Nimefarijika sana na site hii, naomba ushauri wa mazao ya muda mfupi Fukayosi!

    Karibu ndugu, una details za matikiti maji? Au unaweza kufahamu wapi nitapata details?
  6. C

    Nimefarijika sana na site hii, naomba ushauri wa mazao ya muda mfupi Fukayosi!

    Thanx KA, Mananasi ni up to 2 years! Nataka mazao ambayo hayachukui zaidi ya miezi sita na ambayo soko lipo!
  7. C

    Nimefarijika sana na site hii, naomba ushauri wa mazao ya muda mfupi Fukayosi!

    Wakuu nimefarijika sana kutembelea site hii ya business! Mimi nimekuwa natembelea sana jukwaa la siasa na lazima niseme ukweli ilifika kipindi nikaachana na jamii forums. Leo nimefarijika sana kuja huku na kukutana na wana JF ambao wana new ideas na bado hamjakuwa corrupted na wanasiasa. Sasa...
  8. C

    Mwanri [naibu TAMISEMI] ampiga stop Masaburi kuvunja bodi ya DDC

    Tena yeye atakuwa zaidi ya makalio, nadhani ni matu...
  9. C

    Tanesco imepokea mitambo from Mombasa

    One day b4 wizara ya nishati haija present bajeti yake hapo June, walituonyesha mitambo ya gesi ikiingia ubungo. Wakati kesho wanategemea ku present tena bajeti yao, sasa wanakuja na single mpya!
  10. C

    Rais Kikwete, toa tamko kuhusu mafuta: Tunaumia wananchi!

    Msimsumbue jamani, kwani mmesahau mwezi mtukufu huwa anaanguka anguka?
  11. C

    Bunge kusitisha uuzwaji UDA? 270 Milioni zaingizwa akaunti ya Idi Simba

    Hivi Iddi Simba ni mjinga hivi?? Nilikuwa namuona mtu wa maana na sera zake za uzawa kumbe ana lake! Kweli nimeamini hata kwenye CCM wapinga ufisadi si kweli wanapinga ufisadi bali wana ajenda yao nyingine!
  12. C

    TBL nao hawaoni alichofanya JK?

    Nataka kujua tuu hawa TBL hii ni coincidence au ina maana na wao wapo kwenye vita dhidi ya mafanikio ya JK? Maana kwenye kampeni yao ya miaka 50 ya uhuru wameonyesha tulipotoka, tulipopitia, tulipo sasa na tunapoelekea. Lakini mpaka TULIPO SASA wameonyesha mafanikio ya BM tuu, yaani BOT twin...
  13. C

    Elections 2010 Chuki dhidi ya CCM sio Magamba! Ni hawa wabunge wa CCM! Kumbuka Zitto- Buzwagi!!

    Kwa mwenendo huu wa bunge naona ndio mwisho wa CCM. Chanzo kikuu cha CCM kutofanya vizuri 2010 kinaanzia kwenye bunge la 2007 wakati wa hoja ya Zitto kuhusus mkataba wa Buzwagi kusainiwa London. Nina uhakika wengi wenu mlikuwa mnaangalia tukio lile bungeni kupitia TVs, mimi nakumbuka nilikaa...
  14. C

    Viongozi wa Tz wanapostaafu ndio akili zinarudi

    This is very true! To me ni unafiki tuu! Na sisi kwa vile hatufikirii tunashangilia! Ovyooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ngoja JK nae atoke utasikia, matatizo ya umeme unatakiwa kufanya a, b, c, d, e........ Bora Chinga yeye kaamua kujikalia...
  15. C

    Mfahamu Hussein Shekilango, aliyepewa jina la barabara jijini Dar (kuanzia Bamaga - Urafiki)

    Kuna jamaa alikuwa anaitwa Juma akapangiwa kazi kyela, basi kule wakafikiri anakosea jina, maana wao lazima waanze na "Mwa", so wakawa wanamuita Mwajuma!
Back
Top Bottom