Recent content by Chiblak

  1. Chiblak

    JamiiForums Tanzania Mume wa Rais Samia kuzikwa leo kizimkazi

    Mazishi yanatarajia kufanyika Leo saa 10. Mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele Leo sep 7 saa 10... Mbona kama sielewi afu saa hii ni saa tisa ujue
  2. Chiblak

    JamiiForums Tanzania Vitu/vifaa gani ulivinunua kwa mihemko na umejikuta huvitumii kabisa?

    Pombe asee Nanunua mwisho najiona chizi maarifa
  3. Chiblak

    JamiiForums Tanzania Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

    Shukuru MUNGU anafanya hta hvo... Angempigia side kichwa atoke chalinze ampeleke posta na jioni amfate ingekua chap Kwa... Anajali uwepo wako
  4. Chiblak

    JamiiForums Tanzania Aomba Rais Samia amsaidie mtoto wake aliempatia jina la SAMIA

    Fu......k off
  5. Chiblak

    JamiiForums Tanzania Yuko Mungu anayejibu Maombi

    Aamiin
  6. Chiblak

    JamiiForums Tanzania Warioba : Namfahamu Nchimbi sio chawa

    Dah we jamaa?? Hujui kama huyo VP walinzi wake ni waajiriwa wa hyo hyo serikali ya SISIMKA na hujui nchi hii SISIMKA ndio tasisi yenye nguvu kuliko zote mpaka wanachi watapozinduka toka usingizini?
  7. Chiblak

    JamiiForums Tanzania MADARAKA YA KULEVYA: Umwagaji Damu, Utekaji, na Siku za Mwisho za Udikteta

    Get up , stand up, don't give up the fight..🤔🤔🤔
  8. Chiblak

    JamiiForums Tanzania "Ukikimbia wanakupiga risasi, ukijificha wanachoma nyumba"

    Sio dini Mzee sasa hao kobazi unaowasema ndio wanashambuliwa Hawa ni wahuni tu wanaotumia njia zisizo sahihi kutimiza malengo yao
  9. Chiblak

    JamiiForums Tanzania Tanzanian digital market

    God bless you tunasubiri tuanze kupiga maokoto
  10. Chiblak

    JamiiForums Tanzania Umekutwa na hatia bado unaingia na bangi kituoni uunao ni usela au..?

    Tulikuwa tunaishi kijijni, bwenini darasani kuonekana nadra labda matukio muhimu suspension za kutosha nyingine mwezi tu kabla ya necta cha ajabu nkatoka division 1.08 wakina John visomo wengi walitaga mwamba yuleee wakasema eti mm mchawi.. Hata wazee wangu hawakuamini maana sio Kwa kesi...
  11. Chiblak

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja: Najutia kumpa mtoto wangu jina la “Freeman”

    Puppet
  12. Chiblak

    JamiiForums Tanzania Walimu acheni kuwafundisha watoto wetu mabongo fleva kwenye mahafali za shule

    Wa kwangu nmemkuta aanjipa burudani hapa 🎷 Mwenzenu mm sijui kutongoza wakijipitisha mi nmwaga hela ahsante📢😁😁 Nikishia kutikisa kichwa tu
Back
Top Bottom