min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 45,962
- 126,396
😁madam ana elewaIla bwashee 😁
😁madam ana elewaIla bwashee 😁
😁madam ana elewa
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😹😹😹😹,,daaahNasikia hayo ni matokeo ya nakuja ila hatufanyi kitu
View attachment 3549482
Vya kushtukiza hivyo😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😹😹😹😹,,daaah
😹😹😹🤣🤣Vya kushtukiza hivyo
ntaongea na mu iran apge bom wanawake wote, Mungu atuletee msaidiz ke mwingne huenda tukaletewa sampuli yeny unafuu.Endelea kujipa moyo tafiti ishafeli maana mmekusanya data za kupikwa, jitahidi muanze upya!
Enjoy 😂 😂
Hiyo sampuli mpya ndiyo itawanyoosha zaidi 😂😂😆 afadhali sie tuna huruma na nyie hata kidogo.ntaongea na mu iran apge bom wanawake wote, Mungu atuletee msaidiz ke mwingne huenda tukaletewa sampuli yeny unafuu.
Wala sikua namuomba chochote, ni nyeg£ to zilizidi 😂Jamaa yako alikua smart sana, hiyo ni mbinu ya kijasusi Huwa tunaitumia tunapotaka kulomba bila kuombwa chochote😁
Alijihami kabla yako, manaake alikua mbele ya muda, muulize wifi yako seran nachomfanyiagaWala sikua namuomba chochote, ni nyeg£ to zilizidi 😂
Nimecheka sanaHuwa sipendi uzumbukuku nilimchana makavu tu ni bora asije gheto ninavipande kadhaa vya soap haina haja hata ya kwenda dukani "MOYO WAAANGUU UNA AMANI....MOYO WANGU, MOYO WAANGUU UNA FURAHA....MOYO WANGU, MOYO WAANGUU HAUNA KINYONGO....NASEMA RAAAAHA JIPE MWENYEWEeee.'' Hii ngoma ilinipa matumani zaidi japo ni nyimbo ya dini haikuendana na dhambi zangu.
ikija sampuli mpya itakua rahs kuisoma, na tutaichunguza hatua kwa hatuo.Hiyo sampuli mpya ndiyo itawanyoosha zaidi afadhali sie tuna huruma na nyie hata kidogo.
Endelea kujipa moyo, ukinyooshwa usiache kuja kutusimulia 😄ikija sampuli mpya itakua rahs kuisoma, na tutaichunguza hatua kwa hatuo.
kuliko nyie old sampuli hamchunguzik kwa sasa.
Huyo jamaa ni wa wapi? Hata simjui😏
Hata sijui, kasema wewe ni wifi kwangu 😂 mbona wanajimilikisha kirahisi hivi?Huyo jamaa ni wa wapi? Hata simjui😏
Acha izo shemHata sijui, kasema wewe ni wifi kwangu 😂 mbona wanajilikisha kirahisi hivi?